Kuku wa mayai

kinyavu au kishingo na awe mweupe au brown?....na unataka wa mkoa gani....singida au tanga....wa singida huwa ni wakakamavu sana na hutoa mayai mengi (just an advise)
 
Tena wa Singida wana miguu membamba kiaina
 
Sasa thread za miaka hiyo mnaziamsha za nini?!Kama ni kuku si mkanunue sokoni huko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom