Japan haiwafai Waafrika?

Manumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
1,746
1,282
Nimewahi sikia kuwa mwanaume wa kiafrika akiishi Japan kwa muda wa kama kuanzia miaka 2 na kuendelea anapoteza uwezo wa kuzaa watoto wa kiume. Badala yake ataweza kuzaa watoto wa kike pekee. Hili linawatokea zaidi wanaume wenye asili ya Afrika. Wenyeji tayari wana kinga ya asili hili haliwasumbui. Je kuna ukweli wowote kuhusiana na hili? kwa wanaume wa kibongo ambao wameishi Japan kwa muda na sasa wamepata watoto wanaweza kutujuza uzoefu wao? Na kama ni kweli nini kifanyike ili mtu aweze kuzaa kama kawaida bila ya kupatwa na hayo madhara ya 'ujapani'? na je hii hali ni kwa Japan pekee au bara lote la asia lenye 'orientals'? Nawasilisha tujuzane.
 
Wee uko Japan au unataka kwenda huko?nauliza hivyo ili niweze pata sehemu ya kuanzia .

Nadhani si kweli mana kuna wakati walisema Wanaume wa kiafrika waliokaa Russia kwa mda kuanzia 2 au 3 yrs mbegu za kiume hazisababishi mimba,but mbona tunaona live watu wanazaliana.
 
Wee uko Japan au unataka kwenda huko?nauliza hivyo ili niweze pata sehemu ya kuanzia .

hapana sina mpango wowote wa kwenda Japan sio kimatembezi wala kuishi...na tayari ninao wanangu 2 wanaume so hili wala c tatizo langu personally
 
urongooooooooooooooooooooooooooooo:A S-baby::A S-baby:
kwaiyo ndo kusema japana hakuna wanaume?
mistak bwana:A S 114:

swali sio kwamba hakuna watoto wa kiume japan. hapana, wapo. ni kuwa mtu mwenye asili ya kiafrika (kama mimi nilivyo) akiishi japan kwa zaidi ya hiyo 2 years, y-chromosomes zinakuwa dhaifu kuweza kutunga mimba. so anabaki na x-chroms ambazo atakuja kuzaa/kuzalisha watoto wa kike pekee. na wanadai sababu kubwa ni hali ya hewa. sijui kama ni kweli lkn
 
Nadhani si kweli mana kuna wakati walisema Wanaume wa kiafrika waliokaa Russia kwa mda kuanzia 2 au 3 yrs mbegu za kiume hazisababishi mimba,but mbona tunaona live watu wanazaliana.

binafsi nawafahamu jamaa kama 8 hivi ambao walienda Japan kufanya PhD na iliwalazimu kuishi huko kwa walau miaka 4. wote wamezaa watoto wa kike baada ya their stay in Japan. wapo waliopata watoto wa kiume lkn walikuwa hawajaenda Japan. ningeweza ningeweka majina yao hapa lkn sorry sitaweza. ndio maana nikaona nililete jamvini. lbd kwa wenzenu waliowahi kuishi huko na sasa wana familia wanaweza kutujuza zaidi uzoefu wao
 
Hii ina ukweli ndani yake kwani inatokana na side-effects za yale mabomu ya nuclear yaliopigwa na marekani huko hiroshima na nagasaki miaka hiyooo
 
Hii ina ukweli ndani yake kwani inatokana na side-effects za yale mabomu ya nuclear yaliopigwa na marekani huko hiroshima na nagasaki miaka hiyooo

brother mito unaweza kutudadavulia zaidi na kwa nini ni waafrika weusi tu? au hiyo mionzi inatudhuru sisi zaidi?
 
Nampigia mshkaji wangu mmoja aweze kunipa data kamili then nitawajuzeni - acheni kurumbana.
 
Mi sijui ndo nasikia kwako!

hata mimi sikuwa nafahamu hili mpaka mshkaji mmoja alivyonitonya kuwa yeye na wenzake kadhaa waliosoma japan phD wote wana watoto wa kike na the number is big
 
urongooooooooooooooooooooooooooooo
A%20S-baby.gif
A%20S-baby.gif

kwaiyo ndo kusema japana hakuna wanaume?
mistak bwana
A%20S%20114.gif

Ninashauri Rose1980 uende Japani ukamchakachue mjapani mmoja halafu tuone matunda yake.....................waswahili husema tusiandikie mate na huku wino upo................................
 
Hilo tatizo lipo sidhani kama ni kwa waafrika pekee mm nachojua ni kwamba baada ya bomu la nuclear kupigwa huko japani matatizo makubwa yalianza kujitokeza kama vile watu kuzaa watoto vilema wa viungo mbalimbali hilo pia inawezekana ikawa sababu
 
Dr wa Rais, Prof Janabi, would be in a good position to answer this question scientifically.

I am not sure if he is a JF member.
 
Dah kwa maana hiyo inabidi kujua kama mtu amewahi ishi Marekani kabla ya kufanya Love Conect, hasa kama unataka kuwa na watoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom