Natamani kuoa mwanamke anaye drive

Halafu iweje?hao unaowaona wana drive unadhan nani anaweka wese?ingiza team utapalekwa petrol station petrol lita shs 2060 afu demu ana mark II six cylinder linakunywa wese kama limelaaniwa!tegeta posta elfu 20 taa inawaka!utatoka mbio mwenyewe.
 
daaah kaka unahtaji ushaur wa karibu na nahc ni saikolojiko tatizo! Try to thnk again b4 hujapata mke wa hvyo!
 
Wewe unadhani wamezaliwa wanadrive.Tafuta wako umpeleke shule ya kujifunza gari na umniunulie gari la kuendesha,ataendesha na moyo wako utasuuzika
 
mie na drive magari aina zote,bajaji, pikipiki, baiskeli, toroli sasa weye tu na roho yako
 
Usijali yupo pale konoike anaendesha lile la kushindilia je huyo?nikupe contact
 
kwani kuna kazi gani kama utaoa hafahamu kuendesha gari kisha ukamfundisha, au unataka kupiga na kuacha??.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom