Babu ananiomba ushauri anataka kuoa!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Great thinkers habari za weekend.
Nina babu yangu mwenye umri wa miaka 73,bibi alifariki yapata mwaka mmoja na nusu umepita.sasa hivi babu ana mpango wa kuoa mwanamwali kigori wa miaka 22,ameniomba ushauri na anasubiri jibu langu afanye uamuzi wake.nimeshindwa cha kumuambia mpaka sasa kwani anapata tabu kidogo ya kukosa matunzo ya mke lakini kwa upande mwingine naona haka kabinti katampelekesha sana.wakuu naomba tumshauri babu yetu jamani.

Nawasilisha...
 
For both women and men, sexual desire or drive decreases gradually with age. However, testosterone, the hormone which primarily controls sexual drive in men, never stops being produced entirely. So when you talk of 73 yrs it does not click in my head.
 
For both women and men, sexual desire or drive decreases gradually with age. However, testosterone, the hormone which primarily controls sexual drive in men, never stops being produced entirely. So when you talk of 73 yrs it does not click in my head.
do you think marriage is just sexual intercourse?on top of that by what proportion your theory stands?
 
you can not justify that there is no marriage without sexual intercourse...then if thta is not the case why saying of this naona haka kabinti katampelekesha sana. 95% of men in their 70's and 80's have low sex drive.
 
huyo mwanamwali yuko timamu hasaaa,au babu yako mtajiri sana
mwanamwali wa kijijini na babu naye wa hukohuko mambo ya utajiri futa kabisa.kipato cha babu cha kawaida kabisa na anategemea wajukuu kama mimi.
 
Mwache aoe. Sio vizuri kukaa peke yake. Ila jaribuni kua karibu na huyo grannie-to-be aelewe kua babu sio kijana kama yeye na pia akubali kua mapenzi yao hayawezi kua ya miaka 20 ao 30 na hivo itambidi ajipange tena pale mpenzi wake atakapo muacha...
Mimi nina shaka sana na motivation ya huyo dada... Babu ana kakiasi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom