Rafiki yangu anagundu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki yangu anagundu??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tolowski, Jul 2, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I have my friend, ameshawahi kuwa na uhusiano na wasichana 3 ambao sasa hivi wote wamekuwa machangudoa wanajiuza! Huyo wa kwanza alidumu naye kama mwaka,then wakaachana kuna mshkaji alimuona corner one day, siku 2kaenda kuhakikisha if its true kweli 2kamkuta yule msichana anauza,tulipomwibukia akatupotezea akijifanya hatufahamu! Mwingine aliwahi kuishi naye kama 3 months hivi then wakaachana,siku 2meenda kona kujiachia uknowingly 2kamkuta anauza mbusa but hatukumshtua! Me nimemshauri akacheki ngoma coz alikuwa anawaamini sana wale madada kiasi kwamba sometimes alikuwa anawagonga kavu! So jamaa anamawazo sana,anajiona ana bonge la gundu duniani!!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  hana gundu ila ana mapepo wachafu wa uzinzi. Akafanyiwe maombi
   
 3. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Siyo gundu mkuu, ni mazingira ambayo mshaji anawapata hao wapenzi wake. nawezekana pia huwa anatafuta watu ambao ni easy kukubali, ndiyo maana anakutana na hao madada ambao yeye hudhani ni wa kawaida kumbe ni machangu wakiwa nje ya mawindo yao. Unadhani inawezekana kumtambua changudoa akiwa mitaa ya home? Siyo rahisi, mpaka awe kwenye viwanja vyake!
   
 4. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  soma vzur then toa ushaur yan unatoa ushauri utafkili ww sio great thinker hutak acha ndo nn kumwambia mtu ana mapepo ww ndo wa kwanza
   
 5. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aangalie type ya wasichana anaokuwa nao,yaonekana anapenda wale waliokubuhu mno.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  huko coner rafikio alikua anatafta nini? Wala hana gundu ajicheki mwenendo wake tu!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Akajicheki afya kwanza....
   
 8. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Siyo gundu au mkosi, mazingira anayoishi na kuwapata hao ndo issue.
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mnaenda kona bar kujiachia ? ndio maana machangu hawachezi mbali na rafiki yako.
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sasa kama ana mapepo asiambiwe ukweli???mbona mnapenda kusikiliza mambo yanayowafurahissha tu wanadamu?
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  so wategemea nyapu ya kununua itulie ndani?
   
 12. H

  Hayati Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asijisikie vibaya abadili tabia ile awe mpya ajichanganye na watu ili apunguze mawazo
   
 13. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sioni tatizo hapo. Asiangalie wale wanawake wanafanya nini...yeye atulie na aachane na anasa za kula bata kona bana...... Asonge mbele
   
Loading...