Mtazamo wa akina dada kwa wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtazamo wa akina dada kwa wanaume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mchakachuaji192, Jul 2, 2011.

 1. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara mdada anapokutana na kijana wa kiume anakuwa na mtazamo gani ndani ya nafsi yake? Kuna hadithi moja ya kijana na binti walikuwa wako katika maandalizi ya mitihani yao ya kumaliza mwaka wakawa wako kwenye discussion mda umeenda wakajikuta ni usiku na binti hawezi kwenda anapoishi wakakubaliana na jamaa alale tu pale kwake na keshi wataamkia shuleni kwenye pepa walipolala ktkt wakaweka mito ili kutengenisha wa huku asije kwa mwenzie, Mungu akasaidia kukawa kumekucha ila walichelewa kuamka na walipofika shule wakakuta geti limefungwa na hawakuwa na la kufanya, yule kijana wa kiume akatoa wazo turuke ukuta jibu lililotoka kwa binti likuwa ni hili nyoooooo umeshindwa kuruka ukuta mdogo ule ndio utaweza kuruka huu mkubwa?
  Hivi hawa akina dada huwa vichwani mwao mnakuwa na mawazo gani katika hali kama hii? Hii ni hadithi inawezekana umeshawahi kuisikia lakini tuiwekee uhalisia tuone inavyo-apply in real world
   
 2. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanategemea response kutoka kwako na wanajaribu lolote ushawishike lkn ikishindikana kidume kufunguka,wanakuchukulia bweghe tu.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kumheshimu ndio imekuwa NONGWA???
   
 4. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hee heee haya Divine umesomeka
   
 5. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mwenzangu acha tu duniani kuna mambo
   
 6. H

  Hayati Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inastajabisha kw mtizamo wa wanawake wengi ukikutana naye ni kuwa unampenda
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mmmh......nilikuwa nadhani ningependa kukushauri kama hutajali ubadili user name yako lakini sijui kama utakubali......samahani lakini kama nitakuwa nimekukwaza
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwani INA TATIZO?????
   
 9. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dah wanawake ni watu wa ajabu sana. ila kiuhalisia mwanamke anamatamanio makubwa kuliko mwanaume ila2 wanaume ndio wanahuwezo wa kujielezea.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  ina2tisha bwana,khaaaah
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mmmh....kwa kweli imenitisha......hilo jina wewe unaona ni sawa?
   
 12. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bila ya wanawake kusingeli kua na ulimwengu,,,
   
 13. Somoe

  Somoe JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 757
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  Kiufupi mungu kaumba mwanaume awaze vikubwa kwanza na vidogo vifuatie baadae. Na mwanamke wameumbwa awaze vidogo kwanza, halafu vikubwa. Kwa mfano mwanamke mawazo yake anunue kitanda, furniture kwanza alafu ndio ajenge nyumba. Wakati mwanamme mawazo yake aanze kujenga nyumba kwanza alafu ndio anunue furniture. Hata kipato, mfano: pesa za mwanamke zitaishia ktk nguo na vipambo, na ikiwa mwanamme atakubali kulala chini na pesa zake aziweke ili anunue gari.

  Mawazo ya mwanamme na mwanamke ni opposite.
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Linawezekana hili?
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ulimwengu upo kabla ya wanawake!
   
 16. MESSI

  MESSI Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  wanawake saa zingine wanakuwa na fikra potofu unakuta mwingine anajiaminisha kabisa kwamba yeye mwanaume yeyote atakayemtaka anaweza kumpata..sasa akikutana na mtu asiye na interest nae anamwona kama *****(kushney) tu..
   
 17. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,228
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Rejeeni katka maandiko matakatifu,mwanamke ni msaidizi wa mwanaume!
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,226
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280

  kweli atakayeamini hili gumzo basi ataamini lolote lile atakaloelezwa..........................lakini tutegemee nini kutoka kwa mchakachuaji mwenye nambari ya 192
   
Loading...