Jamani nisaidieni

Hayati

Member
Jul 1, 2011
64
5
Tangu nilipozaliwa na kupata fahamu zangu ninasikia wakubwa na wadogo wanalitamka na kulitumia neno MAPENZI.Naomba wn jf mnisaidie maana halisi kwa sababu linapolituka kwa kijana mfano ukimwambia MPENZI WANGU HUJAMBO. Na kijana wa kiume mwenzake watagombana hivi kumwita mtu mpenzi wangu inamanisha unamtamani?au mvulana kumsalima msichana MPENZI WANGU HUJAMBO unamtaka.please nisaidieni
 
Pazito hapo, call a man like you mpenzi utengwe na jamii. Watu hawakawii kukuita bwabwa. Look like mpenzi is more than friend!
 
[h=2][/h]
Tangu nilipozaliwa na kupata fahamu zangu ninasikia wakubwa na wadogo wanalitamka na kulitumia neno MAPENZI.Naomba wn jf mnisaidie maana halisi kwa sababu linapolituka kwa kijana mfano ukimwambia MPENZI WANGU HUJAMBO. Na kijana wa kiume mwenzake watagombana hivi kumwita mtu mpenzi wangu inamanisha unamtamani?au mvulana kumsalima msichana MPENZI WANGU HUJAMBO unamtaka.please nisaidieni

Penda halafu majibu yote utayakuta ndani ya penzi angalia ukiandikia mate na huku wino upo utakauka...............................
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom