swali kwa kina dada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

swali kwa kina dada

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Manyanza, Jul 3, 2011.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wote?
  Mimi nina swali hapa linanitatiza kidogo, kuna rafiki yangu wa karibu, ana mpenzi wake na mahusiano yao yamedumu kwa takribani miezi minne sasa, na kwa kipindi hiki wamekua katika mvutano wa hapa na pale na mshikaji anaonekana kazimika ile mbaya na kusema kweli wakati wanaanza mahusiano yao demu alikuwa yuko serious na jamaa kila baada ya dk 10 jamaa alikuwa anapokea simu au ujumbe, sijui ni nini kinaendelea kwa kipindi hiki mawasiliano ni adimu na mshikaji wangu anateseka sana juu ya hili.
  Nimeanzisha hii thread mara baada ya siku ya jana mshikaji kunionesha ujumbe aliotumiwa na demu wake ulikuwa unasema; SIJAWAHI KUONA MWANAMME WA AJABU KAMA WEWE HUISHI KULALAMIKA, NA NIKIKUAMBIA TULICHOKUA TUNAFANYA NA X BOYFRIEND WANGU HAUTANITAMANI TENA NA NATAMANI KURUDIANA NAE.
  Huo ndio ujumbe nimeuwasilisha kama ulivyo hivi ni kweli unaweza kurudiana na jamaa wako wa zamani ambae zaidi ya mara 4 umemfumania na wasichana tofauti? Kutokana na maelezo ya jamaa yangu anasema demu aliachana na mshikaji kwa ajili ya tabia za mshikaji, na baada ya muda mshikaji akaanza kumfuatilia demu na kuomba msamaha lakini demu alikuwa ameshamtapika mshikaji, maana watu wengi walijaribu kusuruhisha akiwemo mama mzazi na shangazi, dada zake jamaa lakini juhudi zote ziligonga mwamba na demu baadae akabadilisha namba za simu, ilifikia kuna kipindi demu alitumiwa kama shilingi laki tano kwenye akaunti na X BF wake lakini akazirudisha nyumbani kwa mama yake jamaa. Na huyu mshikaji wangu wa sasa anamhudumia sana mtoto lakini ndio hivyo. Kuna migogoro ambayo hata haieleweki nimejaribu kuongea na demu wa jamaa lakini hayuko wazi na anasema hakuna tatizo lakini jana usiku mshikaji wangu katumiwa ujumbe huo niliyouandika kwa herufi kubwa. HIVI NI KWELI WEWE DADA UNAWEZA KURUDIANA NA MPENZI WAKO WA ZAMANI MWENYE TABIA KAMA ZA HUYU JAMAA? NA UNAWEZA KUMWAMBIA MPENZI WAKO MPYA KUWA UNATAMANI KURUDIANA NA MPENZI WAKO WA ZAMANI?
  Nawasilisha!
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Manyanza
  Pole kwa huyo rafiki yako. Alifanyalo huyu mdada ni la ajabu kwani kwa kawaida wapenzi wanapoanza mapenzi na kadri siku zinavyokwenda mwanamke ndie hupenda zaidi wakati mapenzi ya mwanaume huenda yakipungua (With exceptions ofkoz).

  Ila ninachowezaona hapa ni;
  1. Huenda huyo dada hakuwa na mapenzi ya kweli kwa jamaa yako na pengine alirush from hiyo past relationship yake haraka na jamaa alichukuliwa kama kidonge cha pain killer ambacho hakihitajiki tena baada ya maumivu kupungua!
  2. Kitendo cha mdada kumwambia or rather kutishia kuwa anatamani kurudi kwa Ex-wake inaonyesha kuwa she is still attached kwa ex na siku ex akiclick his finger tu mdada atarush back akimwachia maumivu zaidi jamaa yako.
  3. Maelezo ya kuachana kwa ex- na huyo mdada kumbuka ni ya upande mmoja (Mdada alimsimulia jamaa yako) so its not that much relieable especially kwa vitimbi avifanyavyo sasa hivi) Inawezekana yeye ndiye aliyefumwa akaona atunge hadithi nzuri ikiwemo ya usuluhishi....na
  4. Unauliza kama inawezekana kumrudia mtu ambaye ulishamfumania zaidi ya mara nne: Jibu ni ndio na hapana
  Ndio: If you are too obsessed na mtu huyo kiasi kwamba uko radhi kupeana zamu na hao vidosho wake na kubear udhalilishaji wake na
  Hapana: Iwapo unaijua thamani ya utu wako, penzi lako ambalo ni dhahiri kuwa mtu huyo halideserve.

  Kwa huyo jamaa yako, Manyanza msaidie afungue macho, masikio, akili na utambuzi wake maana definetely something fishy is going on kwenye maisha ya huyu wifi!
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Duh! Jamani wapenzi wa siku hizi bana, yaani vitimbi kila kukicha. Nina wasiwasi kama huyo jamaa yako anapendwa.
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda MwanajamiiOne sana hii, ingawa jamaa sio member humu JF nitamuonesha maelezo yako haya ili akiasoma achague mwenyewe cha kuamua
   
 5. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Na sijui kama anaelewa maana ya Kupendwa!
   
 6. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hili swali hata mimi najibu; amend ur heading plz. well, hapo demu kamchoka mshikaji na vitimbi vinaletwa ili jamaa a give-up. jamaa kwa ujasiri ajiachie tu..... penda unapopendwa, asome alamaa za nyakati si vema kuendelea na assumptions. nu kawaida...mapenzi hayana kujuta, songambele
   
 7. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuambiwa yote hayo na huyo msichana bado anataka kushauriwa? mwambie akimbie tena asigeuke nyuma, msichana amemkosea sana heshima aisee, yaani kuna njia za kumfanya jamaa asikufatefate lakini yake ililenga kumdhalilisha jamaa. alimaanisha jamaa hamridhishi maybe, kwani kitu gani anachoweza kufanya huyo x wake na jamaa ashindwe kufanya? au ndio yale mambo ya pwani? maana nasikia wakianza hawaachi kaona arudi kunako hiyo huduma
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dah, pole mkaka. Soma alama za nyakati, fanya uamuzi wa busara. Lakini kwa kuwa huyo ni DEMU na mmejiridhisha wenyewe kumuita demu mi naona mnamuonea mnavyomlaumu. Demu? ni nini hicho?
   
 9. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Inawezekana jamaa wa zamani alikuwa anakula tigo sasa huyu wa sasa anapiga kawaida na demu katamani tigo yake iguswe. Ndio maana kamwambia nikikuelezea alivyokuwa ananila tigo hutanitamani tena!
   
 10. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Mpe pole sana jamaa, hili ndilo tatizo la kupenda sana na akajua kwamba unampenda sana.. Hajachelewa 4months siyo kitu, na ni bora imetokea mapema. Kuanza upya c ujinga, na ujinga huwa wakati wa kwenda tu na si wakati wa kurudi, inaumiza najua lakini hakuna mapenzi hapo
   
 11. N

  Ngoswe11 Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  U're right dia. Hapo umemaliza kila kitu. Kama ujuavyo wadada wengine huwa wanatoa huduma ileee ya mambo ya pwani kwa siri kubwa sana! Nadhani haikuwa rahisi kumwambia jamaa ampe hiyo huduma may be kwa jinsi mshikaji anavyo-mrespect na ku-mvalue bila kujua hyo demu anagawa hiyo huduma. Hawezi kusema maneno makali kiasi kileee, hiyo ni dharau saaana! kwani angetaka huduma ya t i . G o si angemtegeshea tu jamaaa ktk yale mambo ya kujipimia ajifanye amekosea na kuchomeka huko kunako O ? sasa tatizo liko wapi hadi kumvua nguo jamaa namna hii!

  I real like U're comment Shantel na hongera kwa kuwa mwepesi wa kusoma btn the lines!
   
 12. N

  Ngoswe11 Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisaa mkuu, huyo demu alitafuta pa kupumzikia tu na sasa ameona amemis sana kutifuliwa ndio maana anamletea jamaa kibriiii!
   
 13. N

  Ngoswe11 Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Demu = maana yake mwanamke wa kupotezea muda tu! a.k.a sehemu ya kupumulia tu.

  Sasa LD, unajua tofauti ya MKE na MWANAMKE? hahahaha...... tel me if you know? maana yake kama hujui maana ya DEMu basi unajua maana ya mke ukitofautisha na mwanamke, is it not?
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Lamba tigo wewe!!!!!!!!! Fanya fasta tifua tigo hiyo kabla hajakukimbia.
   
 15. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Manyanza kumbe wewe ni mwoga eeee, nahisi ni wewe umetemwa kwa uvivu wa kusoma nyakati, pole swt wangu.... ndio maisha...umemsoma shantel lakini??????
   
 16. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  umeona eeee, hajamsoma vizuri huyu msichana, atasemaje kuna vitu anamfanyia x wake akisikia atamchukia, ni nini zaidi ya hilo? aaaah wasichana wengine bwana wamezoea mambo ya ajabuajabu wakipata mstaarabu wanaona kama hawa fit vile

  hahahahahaha wewe BB kaona bwana...halafu uko wapi siku hizi
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mmh ukisoma maelezo ya mletaa mada kuna kijiukweli!
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaa haaa BB missed you my dear! Ulikuwa wapi? Me siwezi kutemwa kizembe namna hiyo, kuna mshikali wangu analialia na nimemshauri piga chini ananichukia mpaka mimi ndio maana nikalileta hapa jamvini na nitamtumia email maelezo ya wadau wote ili ajisomee yeye mwenyewe!
   
 19. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Aachane na huyo bibie,zaidi ya hapo jaribu kumweleza kuwa ngono is animalistic...lazima awe anatembeza bakora kama farasi dume!! na asiwe mtu wa kuona aibu kuexplore wadada wanachotaka la sivyo naona hiyo issue itajirudia....he needs to make that juice spot wet,make it talk and pop!!
   
Loading...