Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 99
Hi! Wakuu!
ni siku njema na jumapili iliyotulia kabisa ikisindikizwa na kaubaridi ka ukanda wetu wa kaskazini, bt wakati wengine wakiwa wanajiandaa labda kwenda kusali au kwenda out au lolote lile, tujaribu kuliongelea hii kitu!
Maisha maisha, maisha ni UCHIZI MTUPU!!
Hebu cheki,
kwani kila panapoitwa leo watu wanakutana na magumu tu
cheki,
1. Wakati mwingine unachokitaka hukipati (MAPENZI)
2. Lakini unachokipata wakati mwingine unaweza usikifurahie (NDOA)
3. Hapohapo unachokifurahia mara nyingi mara nyingi hakidumu (BOY/GIRL FRIEND)
UKU HAPO!!
4. Kinachodumu kinakera (MUME/MKE)
5. Chenye thamani kinadhalilisha (EEDHA)
6. Kinachodhalilisha kinapendwa balaa, siku hizi mpaka na watoto (ZINAA)
7. Vingi sana vinaogopwa, lakini kinachoogopwa zaidi hakina maandalizi, kinatokea ghafla, (KIFO)
HUU sio uchizi? Mambo yanaenda UP SIDE DOWN!
naombeni mchango wenu kuhusu huu uzi
j2 njema,
Nawasilisha!!!!!