Kuna mapenzi ya kweli siku hizi??

dan ki dan

Member
Feb 25, 2011
19
4
Kila niangaliapo wanaonizunuka nahisi kuibiwa kama wanavyoibiwa wao. na ukiangalia kwa undani wengine wanajua kuwa wanaibiwa, wengine wanahisi lakini pia wapo ambao totally hawaelewi kama wanachezewa kamchezo hako ka kuibiwa. wana JF kama kuna mtu ambaye anafaidi tunda lake mwenyewe na he/ she is 100% sure of this scene please get me informed and how sure u r otherwise uchakachuaji upo
 
Kwasababu tu uchakachuaji upo haina maana kila uhusiano/ndoa inachakachuliwa!

Uhakika mtu kutoa ni ngumu maana hamna anaezunguka na mwenzake 24/7 hivyo kilichobaki ni kuamini tu kama dalili za uchakachuaji hazipo!!!
 
Hakuna Mwaminifu %100 wote ni vigeugeu,kama Mungu angetufungia mita kwenye nyeti zetu tungeweza kusoma kilomita, UAMINIFU WEKA %50 tu zingine muachie Mungu.
 
ukweli ni kwamba ukimwi umeenea sana kwa waliokwenye ndoa. Hii inaonyesha kuwa uchakachuaji ni mkubwa
 
Unajitafutia presha ndugu yangu,we kuwa na mpenzi wako mwaminifu na wewe uwe mwaminifu hiyo inatosha
 
Kuiba/kuibiwa kupo tu...la msingi ogopa Ukimwi na fuata mambo yako ukimfatilia mmu/mke wako utapata presha ufe bure. we kama ukipata window 7 yako install maisha yanaenda.
 
Uaminifu upo bana na sio kwamba ndoa zoet zina vimeo ambao wanacheat nje
wako ambao wanaziheshimu ndoa zao na wanajua maana nya ndoa
 
Kila niangaliapo wanaonizunuka nahisi kuibiwa kama wanavyoibiwa wao. na ukiangalia kwa undani wengine wanajua kuwa wanaibiwa, wengine wanahisi lakini pia wapo ambao totally hawaelewi kama wanachezewa kamchezo hako ka kuibiwa. wana JF kama kuna mtu ambaye anafaidi tunda lake mwenyewe na he/ she is 100% sure of this scene please get me informed and how sure u r otherwise uchakachuaji upo
<br />
<br />
m cjawah kuchakachua within 3yrs ya mahusiano yng..sema 2mekariri tu
 
Back
Top Bottom