Hii ni damu yangu

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
4,501
Points
1,225

Vaislay

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
4,501 1,225
Za mida hii wanajf.nisaidieni kimawazo...nilibarikiwa kuwa na mtoto niliezaa na mzaz mwenzang,mtoto akiwa na miez miwil akanibwagia mtoto na kwenda kuolewa.nililea mwenyewe mpaka mtoto kafika umri mkubwa.cha ajbu mzaz huyo anadai mtoto,wakat hajui gharama yoyote ya hyo mtt.kwan tangu aondoke miaka4 iliyopita hakuwah kuulizia mtoto,kaibuka hv leo.nimfanyeje huyu mzazi maana imeleta ugomv mkubwa
 

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
6,839
Points
2,000

rosemarie

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
6,839 2,000
mkuu nina mtoto ana miaka 16 nilizaa na demu mmoja na aliniacha akaenda kuolewa,sasa karudi kamchukua mtoto wangu ambaye anaishi na mama yangu na kwa taarifa anamzuia kuja kwetu,nimeamua kunyamaza kimya kama sipo hii dunia,yanafanana hayo,kaa mbali mkuu mwamuzi atakuwa mtoto
 

Forum statistics

Threads 1,366,934
Members 521,594
Posts 33,381,488
Top