Kipi bora - kuwa katika mahusiano au kutokuwa katika mahusiano?

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
Whatzap jf ! upande gani wewe unaona unafaa zaidi kwa sasa? maelezo yako yazingatie nyakati hizi.
 
always better kuwa na mtu...

hata hao wanaoponda mahusiano,wapo kwenye mahusiano pia...
 
Kila mtu na itakavyomkalia..uktaka kujhucsha au ucjhucshe km mm.n wewe tu na swala la maamuz
 
Back
Top Bottom