Swali la kizushi....!

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Je, ikitokea weekend umaemua kushinda nyumbani na mwenzi wako; yaani mchana na usiku (au kwa masaa 24), na ni dhahiri kabisa kwamba lazima ule...! Je, wewe ungependa kula mara ngapi kwa siku, na kiasi gani kwa mlo?

Nawasilisha...!
 
inategemea na mlo wenyewe,
kama ni makande, figiri au mchemsho..............
 
nakula kihindi, muda wote nisikiapo njaa. hii haina idadi yaweza zidi 9.
 
siku nzima nakula msosi maana sisi wengine suala la kula saa nzima sio ishu,kiasi cha msosi ndo ishhu. so kama chakula ni cha kutosha kiasi kwamba uanaweza kula siku nzima basi tutashinda tunakula tu............ haijalishi,mpaka aseme amechoka!!!!!!
 
nakula nakula nakula nakula tuuuuuuuuuuu mpaka nishibe kwani wewe ungekula mara ngapi? Chai, cha mchana, na usiku pia.
 
Kama mko wenyewe nyumbani ni kila time tuu na mahali popote sebuleni, jikoni, bafuni , korido ni muda wote
 
inategemea na chakula kilichopo, kama ni kande aah! mara moja tu, coz c unajua kazi ya kutafuna kande? lol. mie naprefer milo mitatu kwa siku, a healthier one, na visnack vya hapa na pale, hope nimeeleweka
 
Back
Top Bottom