Siri hizi za Wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri hizi za Wanawake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Aug 22, 2011.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Fahamu kwamba mwanamke uliye naye ana siri nyingi alizoficha zikiwemo chache ambazo hukuwahi kuzifikiria hata mara moja.

  Je, ulikuwa unafahamu kuwa kila kitu mwanamke anachonunua kuanzia nguo zake, viatu na hata madawa huwa na gharama halisi ya asilimia 20 zaidi ya ile anayomweleza mwenzi wake? Kwa mfano anaweza kumwambia mwenzi wake kanunua kiatu kwa shilingi 8,000, lakini ukweli halisi wa bei ya kiatu hicho alinunua kwa shilingi 10,000! Mara nyingi wanawake hutaja bei ya chini ya vitu vyao wanavyonunua kwa waume zao ili wasionekane waharibifu wa fedha au kuepuka kuzua zogo bure na wenzi wao.

  Je ulikuwa unafahamu kuwa wanawake wanakuwa wawazi zaidi kwa mashoga zao kuliko walivyo kwa wapenzi au waume zao? Kama ulikuwa hufahamu juu ya hilo, basi kwa taarifa yako ni kwamba ni rahisi sana wanawake kuaminiana kiasi cha kuelezana siri zao kama ni marafiki wanaoaminiana sana. Huweza kuwaeleza marafiki zao kuhusu hata mzozo mdogo unaotokea kati yao na wapenzi wao. Kuwaeleza kuhusu vile wanavyotendewa na wakwe na mawifi zao. Kulalamikia jinsi wapenzi wao wanavyoonekana kuthamini zaidi burudani fulani kiasi cha kutumia muda wao wote huko.

  Nitaendelea kuweka siri zao nyingi hapa!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wekaweka
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhhh
   
 4. G

  Greard Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa ukitaka kujua zaidi mtongoze shoga yake. Lkn uhakikishe unamega. Ukishindwa inarudi kwa mkeo.
   
 5. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,093
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu. Tujuze ili tuwabane vizuri....!
   
 6. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  DOLE GUMBA...! MIA MIA thank u!
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wanawake bwana,they ar so funny
   
 8. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  You have your own emotional buggages from your childhood, sort them out first before you deep your nose into other peoples lives!
   
 9. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Du!kama kweli vile!
   
 10. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Duh mbona mie nazidishaga bei, hii inanitofautisha na hao wanawake?
   
 11. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Haya bwana twende tena.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Jifunze matumizi ya neno baadhi...kwasababu tu waliokuzunguka ndivyo walivyo haina maana ndivyo ilivyo kwa wanawake wengine wote!!
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  sawa mtambuzi
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  bibie hii ni q au w ulikuwa unamaanisha herufi ipi kati ya hizo..
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ohh ahsante..w ndio niliyomaanisha!
   
 16. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hata sisi tunachana bili za baa, hazifiki nyumbani. Ni mapungufu ya binadamu wote, wa kike na kiume
   
 17. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huh..............
   
 18. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Boss, we siku hizi unaguna sana, kulikoni?
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hio mara nyingi hufanywa hivo na majority for majority wapenzi/waume zao wana uwezo mdogo au niseme sustainable... Kama mwanaume anaweza himili/afford, mara nyingi wala hata haangaiki kuficha ukweli... issue inakua kama mwanaume ana uwezo wa kawaida... na huyo mwanamke akata nae apendeze kwa kitu/fashion fulani aloona na kutamani. Na mara nyingi hio hufanywa na wanandoa for majukumu ya ndani hua hayaishi - waweza kuta kuna pesa ya responsibility fulani inatakiwa ndani ya nyumba but at the same time huyo mwana mama anataka kununua kitu fulani of her choice.. lazima ataishia kutaja bei ya chini ya ile ya ukweli... However Mtambuzi ukumbuke kua in the case of galfriends or vimada bei ya vitu hutajwa mara mbili ya thamani for you are expected to pay for them in most cases....

  Hiio ya wanawake kua wa wazi kwa shoga zao hata wanaume pia... Kuna mambo guys husema kwa friends na wanawake pia... Sema tu most ladies husema specific details whereas guys general details... but at the end of the day woote ni wahusika... Na hilo la wadada wengi kupenda sema vitu vya chumbani ndo huwapotezea wapenzi wao kwa hao marafiki for tayari hua wanajua what makes the guy tick.. mwanaume akifikiri kapata mtu anaefaa na kujua mambo kuliko mpenzi wake (rafiki wa huyo) kumbe huyo dada tayari ana advantage ya kumjua before..

  BTW... Naomba fuata ushauri wa Lizzy... hatuendi hivo - umefanya iwe too general....
   
 20. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Mkuu unatutisha sisi ambao hatujajaaliwa kuoa
   
Loading...