Wanaume akili zao...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume akili zao......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jestina, Aug 15, 2011.

1. Jestina

Jestina JF-Expert Member

#1
Aug 15, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,806
Likes Received: 120
Trophy Points: 160
hazina akili!!!
utaitelekezaje familia yako kwa penzi la kimada???
mbona wanawake tunacheat ila hata siku moja hatutelekezi watoto tuliowazaa....???au kwa vile hamzai kwa uchungu kama sisi hivyo hamna uchungu na watoto wenu wenyewe???...................................

na nyie baadhi ya wanawake huwa mnafikiria nini mpaka mnaamua kuwateka waume za watu kiasi cha kusahau familia zao? i mean watoto wa huyo baba wamekukosea nini mpaka uwanyan'ganye love and care ambayo wanadeserve kutoka kwa baba yao?????

ningekuwa na uwezo ningewatandika wanaume na wanawake wote wenye tabia hii bakora,sisi kama taifa kama tunataka jamii inayoendelea lazima tuanze kwenye ngazi ya familia!!!!broken family means broken nation hatuna ushirikiano katika kulisukuma gurudumu la maendeleo kisa wapuuzi wachache....tuchapane bakora kwa kweli kukumbushana wajibu wetu!

2. B

Bajabiri JF-Expert Member

#2
Aug 15, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Bint,wapo wamama wanaotelekeza watoto

3. N

Ngo JF-Expert Member

#3
Aug 15, 2011
Joined: May 25, 2010
Messages: 284
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Jestina; hazina akili!!! utaitelekezaje familia yako kwa penzi la kimada???
mbona wanawake tunacheat ila hata siku moja hatutelekezi watoto tuliowazaa....???au kwa vile hamzai kwa uchungu kama sisi hivyo hamna uchungu na watoto wenu wenyewe???...................................

na nyie baadhi ya wanawake huwa mnafikiria nini mpaka mnaamua kuwateka waume za watu kiasi cha kusahau familia zao? i mean watoto wa huyo baba wamekukosea nini mpaka uwanyan'ganye love and care ambayo wanadeserve kutoka kwa baba yao?????

ningekuwa na uwezo ningewatandika wanaume na wanawake wote wenye tabia hii bakora,sisi kama taifa kama tunataka jamii inayoendelea lazima tuanze kwenye ngazi ya familia!!!!broken family means broken nation hatuna ushirikiano katika kulisukuma gurudumu la maendeleo kisa wapuuzi wachache....tuchapane bakora kwa kweli kukumbushana wajibu wetu!

Na wewe unafaa kutandikwa bakora kwa kuwa cheater maana nayo siyo tabia njeama japo kuwa mdomoni mwako unasound kama kitu cha kawaida! Hauna unafuu kati yako na hayo makundi yenye tabia uliyoyahainisha hapo juu.

4. Jestina

Jestina JF-Expert Member

#4
Aug 15, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,806
Likes Received: 120
Trophy Points: 160
Bajabiri,hao wamama ni wachache compared to wanaume na mara nyingi ni uchumi au masomo ndio yanapelekea kufanya hivyo na sio wanawake(vimada) kama ilivyo kwa wanaume kutelekeza familia zao...

5. Jestina

Jestina JF-Expert Member

#5
Aug 15, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,806
Likes Received: 120
Trophy Points: 160
mmmnh mbona limekugusa sana,umejuaje mie sina unafuu?bado sijaitekeleza familia yangu kwa penzi la nje......kama wewe upo kny kundi nililotaja pole! naisikitikia familia yako na ningekujua ningekutandika bakora lol

6. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#6
Aug 15, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Vp,,, wamekupiga tukio nini!!
FREE MARKET mamaa,
Kama ushindani huuwezi tulia wengine wajifaidie!

7. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#7
Aug 15, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,651
Likes Received: 35,409
Trophy Points: 280
Wewe unazo?

Unaishi wapi wewe? Chini ya mwamba? Wanawake wangapi wanawatelekeza watoto wao? Wengine wanavitupa vitoto vyao vilivyo vichanga majalalani. Na hao wanaotoa mimba kwa sababu ya 'convinience' je? Stop being ignorant.

Kwanza kula gwala kwa kukiri kuwa na nyinyi mnachiti. Kuna baadhi ya wanawake wako kwenye denial kuhusiana na hilo. Pili, hata wanawake wapo wanaowatekeleza watoto wao wa kuwazaa. Wengine wanawaua kabisa. Kwa hiyo kwenye hilo wanawake are not excused.

Hakuna mtu mzima mwenye akili zake timamu anayetekwa na mwanamke. Mapenzi ni hiari (ingawa kuna watu hawaujui ukweli huu). Kama baba ameamua kutokuwajali wanae kisa mwanamke, basi huyo ni kaamua kufanya hivyo kwa utashi wake mwenyewe. Hapo mwanamke si wa kulaumiwa. Wa kubeba lawama zote ni baba mtelekezaji.

Hapo nakuunga mkono. All deadbeat dads and moms need to get their asses whooped.

8. First Born

First Born JF-Expert Member

#8
Aug 15, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
kwa hiyo we unashauri wanawake na wanaume wacheat ila wasitelekeze familia zao sio?

9. N

Ngo JF-Expert Member

#9
Aug 15, 2011
Joined: May 25, 2010
Messages: 284
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Jestina; mmmnh mbona limekugusa sana,umejuaje mie sina unafuu?bado sijaitekeleza familia yangu kwa penzi la nje......kama wewe upo kny kundi nililotaja pole! naisikitikia familia yako na ningekujua ningekutandika bakora lol

Hujanigusa hata kidogo, na wala kwenye hayo makundi uliyoyataja simo. Nimesema hauna unafuu kutokana na useme wako kuwa unacheat amabao sikuusupport. Familia yangu ina furahaa na Amani maana baba na mama tunajuwa wajibu wetu sote. Ukisema unitandike bakora kwa kigezo cha kutelekeza familia mke wangu atakushangaa maana anajuwa namtake care yeye na watoto kama baba na mume mwema

10. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#10
Aug 15, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Wanawake kibao wanatelekeza familia zao kwa mapenzi ya nje ....acha kuwapa utakatifu wasio watakitifu!!!

11. BlackBerry

BlackBerry JF-Expert Member

#11
Aug 15, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 1,844
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Hivi yule mzee kifimbo cheza wa kwenye gazeti la sani yuko wapi? angeweza kukusaidia kwenye zoezi la kuchapa bakora

12. Shine

Shine JF-Expert Member

#12
Aug 15, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Bora wababa wanotelekeza familia zao kuliko wanawake wanaowaua kwa kuwatupa chooni kwani ni ukatili wa hali ya juu

13. M

MORIA JF-Expert Member

#13
Aug 15, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 528
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Safi Lizzy kwa kuwa mkweli

14. kinyoba

kinyoba JF-Expert Member

#14
Aug 15, 2011
Joined: Jun 2, 2011
Messages: 1,238
Likes Received: 185
Trophy Points: 160
jamani maisha ni mafupi sana, mi nikipata kimada anaeweza kumzidi mamsapu wangu kwenye mavituuuz, waalaaaaaaah naitelekeza familia! Kila mtu na maisha yake bwana alaaaaaa! Kama mama yao hakupi penzi anakupa karaha anategemea nn? Ni kuachana nao tu! Mama ndio anaejenga na kubomoa familia yake hata kwenye maandiko ipo hiyo!

15. Z

Zedikaya Senior Member

#15
Aug 15, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 119
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Dah, mi naangalia tu,nyie endeleen kunyukana,m nasoma tu

16. b

bibi.com JF-Expert Member

#16
Aug 15, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 1,155
Likes Received: 36
Trophy Points: 145

are u sure mke wako anaridhika na mavituz unayompa?

17. sweetlady

sweetlady JF-Expert Member

#17
Aug 15, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 16,982
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Mungu na akusamehe bure, na tena akuepushe na huyo shetani aliyeanza kukunyemelea... Na mkeo je akipata wa kumridhisha zaidi yako akutelekeze wewe na watoto? Manake hapo ulipo una uhakika gani kama ameridhika na wewe?..

18. Mamaya

Mamaya JF-Expert Member

#18
Aug 15, 2011
Joined: Jul 4, 2011
Messages: 3,723
Likes Received: 435
Trophy Points: 180

sio kwamba vichwa vya wanaume havina akili,bali tuna vichwa viwili ambapo kimoja kikizidiwa kingine kinakuwa off line kufikiri.je wewe unafikiri ni kipi kat ya hivyo vichwa ndio source?

19. Rutashubanyuma

Rutashubanyuma JF-Expert Member

#19
Aug 15, 2011
Joined: Sep 24, 2010
Messages: 157,748
Likes Received: 416,592
Trophy Points: 280
once a cheater always a cheater..........................hakuna cha kusema kuna unafuu..........................ukimsogezea mzee wako vvu yaani huoni umetelekeza watoto kiujumla na kuwaachia ukiwa.............

20. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#20
Aug 15, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145
Wanawake wa siku hizi du! Heri ya wanaume.

Loading...