Nifafanulieni jamani.................. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifafanulieni jamani..................

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by pepim, Aug 15, 2011.

 1. pepim

  pepim JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wana jf wenzangu poleni sana na majukumu ya j3....Wengi najua mmefunga ofisi na mnajiandaa kwa kwesho,ila co mbaya nikiwashirikisha katika hili...Naombeni ufafanuzi juu jambo hili,hivi katika mapenzi kilele nini?Je wanaume na wanawake hufika lileleni?Kama ndio,ni hali inayoonesha kuwa wamefika kileleni?Na mambo gani yatakayoonesha mwanamke amefikia kilele cha mapenzi?Nimewasilisha....
   
 2. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ukitaka kujua kama Mwanamke kafika kileleni utamwona anarembua macho kama anataka kufa vile.
   
 3. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Duuh ngoja wapite wajuzi wa haya mambo,
   
 4. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kabla ya kukujibu naomba kujua una umri gani
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kua uyaone,sio maghorofa atii......
   
 6. pepim

  pepim JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haloo b'berry..Nishavuka robo karne sasa..
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  Unaweza fikiri ni swali la kitoto
  kumbe wengi wengine hawajui lol
   
 8. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Ngoja wahusika zaidi ambao ni wanawake watakujibu
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,680
  Trophy Points: 280
  Dah!Kaazi kwelikweli!
   
 10. v

  vngenge JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Inawezekana robo karne asijue kufika kileleni kwani inategemea flngs na ujuzi wa kusoma udhaifu wa opponent uwanjani na kutumia vizuri hivyo kumuacha anapiga kelele bila kujielewa
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  kilele kipo cha kibo na mawenzi wewe ungelipenda kukwaa kipi ili nianze kumwaga nasaha zangu jamvini sasa hivi...........
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kumbe wale wazee wetu waliokuwa na utaratibu wa kuwapeleka vijana wao jando au unyago walikuwa na akili sana....

  Sitashangaa keshokutwa tukitakiwa kutoa ufafanuzi wa jinsi watoto wanavyopatika au wanapatikana wapi!!

  Ngoja nikawasimulie hadithi wajukuu!!

  Babu DC!!
   
 13. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Si baharini?
  nakumbuka zamani tuliambiwa hivi
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  ............lol... Dah!
   
 15. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kumbe.......
   
 16. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />

  Mwe!
  Naskia wengine hulia zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz kwa saut, huku akitetemeka kama anapepo. Hehehe kwa hiyo ukiskia zzzzzzz zimeanza jiandae kumfunika mdomo!
   
 17. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  na wale wanaokunja tu sura kama wamelamba ndimu tuwaweke kundi gani
   
 18. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />

  Mhh mi naona bora hao! Wengine huachia tabasamu ka la JK bila kusema chochote na hao ndo hatari sana.....
   
 19. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na wale wanaobweka jeee, au maudenda yanawatoka tu, unashangaa sura inakuwa mbaya tu kumbe mwenzako tayari
   
Loading...