Wenye ndoa acheni tamaa

bryleen

Member
Jul 28, 2011
90
24
Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata kujilinganisha alivyo wa ukweli khaa acheni kutufanya tambala la mlangoni kufutia miguu!
 
Inategemea,maana mwanaume anaweza oa mke zaidi ya moja kutegemea na uwezo wake
 
Pole sana aisee, hapa itakuwa ulitandikwa changa la macho, pole sana aisee sasa jamaa sijui alifanikiwa? Anyway usijali mama, huwa yanatokea maishani hayo na wewe si wa kwanza........
 
Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata kujilinganisha alivyo wa ukweli khaa acheni kutufanya tambala la mlangoni kufutia miguu!
Usiwalaumu watongozaji peke yao, Jaribu kuwalaumu na watongozwaji pia maana ridhaa inatoka pande zote mbili.
 
Tatizo mabinti tunapenda kulaumu mambo mengine ambayo yapo ndani ya uwezo wetu we unamuona mtu anapete sasa unategemea nn hapo au kufanywa nyumba ndogo.
 
Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata kujilinganisha alivyo wa ukweli khaa acheni kutufanya tambala la mlangoni kufutia miguu!
Vijana wenzako ulikuwa huwaoni!........ mambo ya kupenda vipoketi money hayo utadhani hamna wazazi.
 
Tatizo mabinti tunapenda kulaumu mambo mengine ambayo yapo ndani ya uwezo wetu we unamuona mtu anapete sasa unategemea nn hapo au kufanywa nyumba ndogo.
Nashangaa ! wasichana saa ingine na nyie msiwe easy going, mara nyingine huwa tunashuka rhymes kwa kunatania tu, unashaanga kitu kimerespond.
 
Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata kujilinganisha alivyo wa ukweli khaa acheni kutufanya tambala la mlangoni kufutia miguu!

pole sana...what hapenned?
 
Hebu nisimulie kisa chako kwenye PM,
Naona hapa umejibanabana umeishia kutoa jazba tu..
Tulia shostito
Mwenzangu hata cjibani ni kwamba nimemaliza chuo mwaka jana na nipo ofc moja najitolea huku nikiendlea kutafuta ajira huku na kule tatizo wanaume weng wa ofc hii ni wasumbufu balaa ful kutongozwa kila unapokatiza afu wengi waume za w2 unapomjibu anakosa nn kwa mkewe anabk kusema huwezi jua kwanini nakutaka ww sa imetokea leo mmoja kaja na mkewe leo ofcn wa ukweli balaa ndo nikashangaa cz cwezi hata kujilinganisha afu anavyompondaga mpk anaboa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom