Kitchen Party!!

Salimia

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
665
103
Mimi naona hizi kitchen party hazina mashiko au tija kabisa haswa kutokana na wadada wengi kutojifunza lolote la maana na kutia aibu pindi waingiapo kwenye ndoa. Utakuta eti wanafundishana kukata kiuno?! Hivi utamfundisha mtu kukata kiuno unajuaje huko anakokwenda kumegwa atawekwa style gani? Au atakuwa amelalilwa na mtu mkubwa kama tembo? Badala ya kufundishana yaliyo bora kumuenzi mumewe, wanafundishana upupu mtupu!! Au kama Mkimbizwa kwao alivyosema wajifunze kujisafisha vema ili janga la kitaifa la kunuka K liishe. Zipigwe marufuku hizi kitchen Party.
 
Kuna kaukweli hapa! Tumngoje Kibanga Amkimbiza Mkoloni na Mkimbizwa kwao waje na falsafa zao tuone
 
acha kuenda kitchen party za uswazi salimia! mi sijawahi ona wanafundishwa kukata viuno,actually kuna issues za family relations and economics.japokuwa focus kubwa nadhani ni kumpa tafu ni harusi ya vyombo na mazagazaga manake ng'ombe hanenepi siku ya mnada
 
Mimi naona hizi kitchen party hazina mashiko au tija kabisa haswa kutokana na wadada wengi kutojifunza lolote la maana na kutia aibu pindi waingiapo kwenye ndoa. Utakuta eti wanafundishana kukata kiuno?! Hivi utamfundisha mtu kukata kiuno unajuaje huko anakokwenda kumegwa atawekwa style gani? Au atakuwa amelalilwa na mtu mkubwa kama tembo? Badala ya kufundishana yaliyo bora kumuenzi mumewe, wanafundishana upupu mtupu!! Au kama <font color="#FF0000"><i><b>Mkimbizwa kwao</b></i></font> alivyosema wajifunze kujisafisha vema ili janga la kitaifa la kunuka K liishe. Zipigwe marufuku hizi kitchen Party.
<br />
<br />
mh! We mtoto umepinda!!!!!!
 
Kuna kitchen Party ambazo watu wanafundishwa vitu vya msingi sana, kama vile ushirika wa mtu na Mungu wake, economics na ujasiriamali, family relationships etc, ni mada ambazo hamzisaidii bibi harusi peke but mtu yoyote yule. Pia kama wadau walivyosema kumpiga tafu bibi harusi, jaribu kuhudhuria zenye mwelekeo huo uta experience the difference
 
Kitchan party siku hizi wanapewa vyombo tu hakuna laziada
matusi na mauno labda uswahilini, au kibao kata sijui
 
Back
Top Bottom