Mi naona aibu bhaaana!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
kuingia gheto anaingia kiwiziwizi
sababu anaona aibu
hata kiss la shavu njenje hataki
nikimshika mkono mbele ya watu anakasirika
nikimlazimisha anasema mi staki bhana
nikimtambulisha kwa marafiki anajibu aaa wapi!
akiulizwa mi nani wake anasema rafiki, ndugu, binamu nk
nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo anajibu mda bado wa kuwa wawazi kiasi hicho
mhhhhhhh!!!!!!!

hayajanitokea bhana ila huwa yapo huenda hata kwako ilishawahi kukutokea!!

Imekula kwako baaaab!!!!

FBorn

Yaani kama yuko hivyo jua wewe unachunwa tuu wala hakuna mapenzi hapo. Yaani wewe ni buzi tuu wala sio mtu wako

Ki ukweli anaona we labda hamuendani,yaani kwa lugha nyingine anajiona ye yuko high class,so anaona kumtambulisha we mpenzi wake ni kama unamuabisha,ye yuko kwako kimaslahi tu na sio kimapenzi

Fb mbona umeguna hapo

Mr. Rocky bwana nilikuwa nawaza jina atakalopewa mwanamke anaechunwa, koz mwanaume huitwa buzi, ila bado sijalipata, unaweza kuniambia? Au ni sugar mumy?

Ki ukweli anaona we labda hamuendani,yaani kwa lugha nyingine anajiona ye yuko high class,so anaona kumtambulisha we mpenzi wake ni kama unamuabisha,ye yuko kwako kimaslahi tu na sio kimapenzi

dah, kushine.

Jamani mbona unamshutumu bint wawatu! inaweza kua kweli hajazowea au ndio kwanza anaanza simnajua jamani wanaume mwanamke akiwa bado mpya kwenye mambo ya wakubwa anavyokua? muoga aibu tele sasa labda huyo nae ndio mmoja wapo, angekua mwalimu wa ufuska hata uwe na sura kama Avatar ya FB asingeona soo sababu unachunika na ngozi yako laini kuchunika au ATM yako ikiwa haina mpinzani.

mhh! Ndo maana wengi wanajifanya huwa hawajui hata kama wanajua kwa sababu mtawaita mafuska.

Ni vizuri ukajua kuwa hawa viumbe huwa hawaeleweki,wanachofanya au kuesema sicho wanachofikiria,uamuzi ni wako!

Ni vizuri ukajua kuwa hawa viumbe huwa hawaeleweki,wanachofanya au kuesema sicho wanachofikiria,uamuzi ni wako!

khaaa kwa hiyo sayansi na technologia haiwafumbui macho hawa viumbe?

Similar Discussions

Back
Top Bottom