Ushauri

Kiduku

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
478
73
Habari wandugu, nilikua na mpenzi wangu kipindi cha nyuma miaka 8 iliyopita
kwa bahati mbaya tulitengana baada ya mimi kusafiri kwa muda wa kama miezi 6
kurudi nikapata tetesi kuwa anatembea na mshikaji wangu mtaa wa 2 ambae mimi ndie
niliemtambulisha,sikua na papara nilifanya uchunguzi nikabaini ni kweli walikua wanangonoka
(niliwafuatilia hadi nikawafuma ghetto kwa mshkaji) iliniuma maana nilikua bado nampenda
ilibidi niachie ngazi,waliendelea na mahusiano yao demu akapata mimba ikabidi waoane
wakaishi kama miaka 6 wakatengana na kwa muda wote huo niliheshimu ndoa yao hadi nilipokutana
na huyo demu desemba last year tukapeana number kilchofuata game,


tumekua tukingonoka kawaida lakini majuzi kaniambia kuna kitu hakimfurahishi anataka niruke ukuta kwani hiyo ni burudani yake!!!!!!!!
nimegoma, je nini kimeikumba jamii yetu??? kila siku tunasikia habari hizi
 
mh! Afadhali uliachana nae mapema, huenda chanzo cha kutemana na bwanaake.

Achana nae huyo ni pepo!
 
Back
Top Bottom