Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimpe? Je, ni muhimu wanandoa kusalimiana mnapoamka asubuhi?Kwanza fahamu kwamba wanandoa wanapokaa muda mrefu baadhi ya vitu huanza kuchakaa kimapenzi. Hata hivyo upendo na wema husaidia...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Sunday, August 21, 2011Usijaribu! SWALI:Hello mimi ni dada ninayeishi Iringa nina umri wa miaka 18 kwa bahati mbaya mpenzi wangu amenipa mimba na kutokana namna alivyo baba yangu Naamini...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Wapendwa wana Jamii Forum naombeni msaada wenu kuhusu huyu baba yangu mzazi. Kwa kifupi mimi ni mtoto wa nje ya ndoa ninatambulika kwenye familia na kwenye ukoo ninashirikishwa kwenye kila kitu...
2 Reactions
72 Replies
7K Views
Ayubu alishauriwa na mkewe amkufuru Mungu Ayubu akakataa. Ayubu akajazwa mali mara dufu. Lutu alishauriwa na mkewe ageuke nyuma aangalie Sodoma na Gomora, Lutu akakataa mkewe akageuzwa kuwa jiwe...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Usijidanganye! Sex ni issue inayosumbua sana wanaume na wanawake katika ndoa.Mwanamke katika ndoa huhitaji intimacy & affection ili ajihusishe na tendo la ndoa wakati mwanaume anahitaji tendo la...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hamjambo wana jamvi. Mwenzenu namwachia mama mkwe nyumba aishi na mwanae. Ni wiki ya 3 haongei na mimi anapika kwake. Kibaya alichemsha mitishamba ninywe na house girl hakutoa maelezo tukagoma...
3 Reactions
82 Replies
10K Views
  • Closed
Wapwaz na Binamuzi wote. Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya...
8 Reactions
190 Replies
14K Views
Ukweli wao! Mshauri maarufu wa masuala ya ndoa M. Gary Neuman alifanya Utafiti kwa kuwauliza wanaume 200 ambao kati yao walishachepuka nje ya ndoa zao na wengine walikuwa hawajawahi kuchepuka...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani majumbani kuna vituko msione watu wanapita wanacheka mkaona moyoni ni hivyihivyo.!! Rafiki yangu mpendwa ambaye anahali ya ulokole fulani hivi kapewa Live na Mkewe kuwa inabidi wasitishe...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Leo nimepigiwa simu na kaka yangu. Mazungumzo yetu yalikuwa kama hivi: Bro: Hello… Mambo vipi? Mimi: Poa tu Bro: Hapo nyumbani hawajambo? Mimi: Tunamshukuru Mungu sisi wazima Bro: Mnaendeleaje...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Natumaini hamjambo wote ... Wanaume sana sana Vijana naombeni sana jamani muanze kuvuta suruali zenu juu au kama mmeamua kulegeza au kuto kufunga mikanda vaeni Boxes , sagz au Briefs.. ...
12 Reactions
131 Replies
12K Views
WanaJF wenzangu hebu kumbuka zamani zile ndo ilivyokuwa siku ya kwanza kabisa kujisajiri kwenye ulimwengu wa malavidavi ilikuwaje mara baada tu ya kubarehe.Je uliyempa malavidavi hayo kwa mara ya...
0 Reactions
24 Replies
50K Views
Jambo hili linaweza kuwashangaza wengi, kuhusiana na swala zima la kutoka nje ya ndoa. Ni kwamba, kama mwanamke ana hawara, ni rahisi zaidi kwake kufanya tendo la ndoa na hawara huyo wakati akiwa...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Links to this post Wanaume Nao...... Kwa nini wanaume hununua sex?Mwanaume anaondoka na kwenda kumtafuta mwanamke wa kumlipa fedha ili ampe sex bila kuhusisha upendo au mahusiano wala...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Truly, Madly, Deeply: How Love Makes you Sick Cupid's bow can kill your appetite, nuke your focus and interrupt your sleep. By Jennifer Nelson TODAY.com...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama huridhiki mwambie, usilipize.......... Ni miongoni mwa makosa makubwa sana kwenye uhusiano wetu. Hebu fikiria kwamba, mumeo anashiriki tendo na wewe kwa njia ambayo aikuridhishi. Inaweza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hata Ufanyeje! Katika asilimia 100 ya wanaume wanaotoka nje ya ndoa zao, asilimia 12 ya hao wanaume wanao cheat hufanya hivyo kwa sababu ni cheaters, wao hutoka nje ya ndoa zao No matter what...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mabibi na Mabwana! Nimepotea Jukwaani kwa muda sababu kubwa namsaidia lazizi wangu Mzenji kufunga kwenye mwezi huu mtukufu. Nilipata aibu zile siku za mwanzo kwenye funga niitwa kobe...huku...
3 Reactions
68 Replies
5K Views
Habari ndiyo hiyo
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…