Zoezi limesitishwa kwa miezi mitatu!!!

Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,456
614
Jamani majumbani kuna vituko msione watu wanapita wanacheka mkaona moyoni ni hivyihivyo.!! Rafiki yangu mpendwa ambaye anahali ya ulokole fulani hivi kapewa Live na Mkewe kuwa inabidi wasitishe shughuli zote za mapenzi kwa muda wa miezi mitatu. Nilipomuuliza sababu ya kusitishwa zoezi hilo amesema mkewe amesema kwa sasa anajipa likizo amechoka kuhangaishwa. Kimsingi jamaa ni wale wapole fulani hivi kwa kifupi hana mkwala. Nimemuahidi nitampa ushauri ili akabiliane na jambo hili. Najua mawazo ya wana jf yatakuwa msaada kwa huyu jamaa unadhani achukue hatua gani?
 
Avumilie tu au kama hawezi na siku amezidiwa aende pale Meeda akachukue dada poa.
 
Jamani majumbani kuna vituko msione watu wanapita wanacheka mkaona moyoni ni hivyihivyo.!! Rafiki yangu mpendwa ambaye anahali ya ulokole fulani hivi kapewa Live na Mkewe kuwa inabidi wasitishe shughuli zote za mapenzi kwa muda wa miezi mitatu. Nilipomuuliza sababu ya kusitishwa zoezi hilo amesema mkewe amesema kwa sasa anajipa likizo amechoka kuhangaishwa. Kimsingi jamaa ni wale wapole fulani hivi kwa kifupi hana mkwala. Nimemuahidi nitampa ushauri ili akabiliane na jambo hili. Najua mawazo ya wana jf yatakuwa msaada kwa huyu jamaa unadhani achukue hatua gani?

Huduma imesitishwa kwa miezi mitatu
Huyo dada anajua maana ya ndoa na nini alichofanya aolewe na huyo mwanaume
Hivi anajua yeye ndio anapalilia njia ya mume kutoka nje ya ndoa
Anajua thamani ya ndoa na maana halisi ya tendo la ndoa kwa mume wake na anajua thamani ya mume aliye nae au anamuona kama kikaragosi
Mwambie jamaa yako amkalishe chini na amweleweshe maana halisi ya ndoa ni nini na thamani ya tendo la ndoa
 
Kama yeye ni mtu wa dini halafu mpole hata ukimshauri ni kazi bure,cha msingi apige magoti na kusali ili mke wake abadilike.Maana kuna watu udini umewaingia halafu ni wapole kila uamuzi wanamtegemea MUNGU.
 
dawa ya moto ni moto,

mwambie nayeye ampe siku tatu kusitisha mgomo na atishie kuwa atachukua maamuzi magumu kama ya cdm
 
Ampeleke mwanamke kwao akafunzwe na mama yake maana ya ndoa hiyo miezi mitatu ikiisha arudi
 
<p style="text-align: center;"><font size="3"><font color="#0000ff">Jamani majumbani kuna vituko msione watu wanapita wanacheka mkaona moyoni ni hivyihivyo.!! Rafiki yangu mpendwa ambaye anahali ya ulokole fulani hivi kapewa Live na Mkewe kuwa inabidi wasitishe shughuli zote za mapenzi kwa muda wa miezi mitatu. Nilipomuuliza sababu ya kusitishwa zoezi hilo amesema mkewe amesema kwa sasa anajipa likizo amechoka kuhangaishwa. Kimsingi jamaa ni wale wapole fulani hivi kwa kifupi hana mkwala. Nimemuahidi nitampa ushauri ili akabiliane na jambo hili. Najua mawazo ya wana jf yatakuwa msaada kwa huyu jamaa unadhani achukue hatua gani?</font></font></p>
<br />
<br />
Kuna harufu ya pepo hapo alikemee.
 
Embu weka namba ya simu ya huyo kaka watu wachangamkie tenda, kuna wanawake wapumbavu ambao wanavunja nyumba zao wenyewe
hapo huyo mume akitoka nje kama ni member humu nae atakuja na kithread chake akilalamika......mwambie huyo kaka amwambie wakati wa likizo hiyo aende kabisa kwao ikiisha arudi
 
Simple!! acheki na housegirl, kama halipi basi aanze kurudi home kwa kuchelewa kuanzia sasa, kwa muda wa wiki tu, kama huyo mama hajashika adabu yake.
 
1. Infi. Kama hii haiwezekani,
2. Ampe mkewe likizo aende kwao. Km hii haiwezekani,
3. Amwombee mkewe afe, ili afunguliwe kiimani na aweze kuoa mwanamke atakayemheshimu na kumthamini.
 
1. Infi. Kama hii haiwezekani,
2. Ampe mkewe likizo aende kwao. Km hii haiwezekani,
3. Amwombee mkewe afe, ili afunguliwe kiimani na aweze kuoa mwanamke atakayemheshimu na kumthamini.
Kwani amesema kuwa hawezi kuoa mke mwingine, tatizo ni nini kama si kutesana tu.
 
Mwambie jamaa ipo mitambo mtaani ya kufua malavidavi 24 hours na full siku 365 je ana ubavu huo tumkodishie?????? Isiyohitaji hiyo likizo!!!!!!!!!!!!!
 
Labda mkewe kapata mtu nje anayemkuna, suala la muhimu hapo jamaa aongee vizuri na mkewe kuhusiana na adhabu hiyo na madhara yake!
 
....wanaume wengine kama mabinti,mke wako wa ndoa kweli?hata kondoo sio mpole hivyo
 
natamani niruke nimkute huyo mdada nimshikishe adabu mimi mwenyewe! Hakufundwa huyu na wala hakuyaelewa mafundisho ya ndoa? Naunga mkono wazo kuwa anamegwa nje, si bure!
 
Back
Top Bottom