Usijidanganye!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usijidanganye!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 24, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  [h=3]Usijidanganye![/h]

  [​IMG]
  Sex ni issue inayosumbua sana wanaume na wanawake katika ndoa.
  Mwanamke katika ndoa huhitaji intimacy & affection ili ajihusishe na tendo la ndoa wakati mwanaume anahitaji tendo la ndoa na hana mpango na masuala la intimacy & affections tu.
  Wapo wanawake ambao piga ua wamejipangia kwamba bila kuwa karibu na mimi kimapenzi sahau kuhusu sex kwani ni kama kuutumia mwili wangu.
  Ukweli unaouma ni kwamba wanaume wengi wanaotoka nje ya ndoa (affair, cheat, chepuka, tembea nk) hufanya hivyo kwa sababu wananyimwa katika ndoa zao.
  Mwanaume anayetoka nje mara zote ndiye anayebeba lawama na dhambi.
  Yeye ndiye victim wa tatizo zima hata kama mke wake alihusika katika kutengeneza mazingira ya mwanaume kuchepuka.
  Mwanamke huhitaji love ili kujisikia vizuri emotionally na mwanaume naye huhitaji respect kwa mke kutii hitaji lake la mwili (sex) ili kujisikia yupo mke anamtii.
  Wapo wanaume ambao kwa kunyimwa hitaji lao la msingi la tendo la ndoa ndani ya ndoa zao huwa hawaoni shida au tatizo kupoteza familia, biashara, uongozi, hadhi (reputation), uhusiano na Mungu wake au kuaminiwa na jamii kwa kwenda kutimiziwa na mwanamke mwingine nje ya ndoa.Unaweza kusoma hapa piaInaweza kuwa bado hujanielewa naongea kitu gani hata hivyo umeshaona wanaume wanatoka na kuacha wake zao wazuri na kwenda kutembea na wanawake ovyo ambao kila mtu hushangaa na ni wanaume wazito kwenye jamii.Ukweli ni kwamba hitaji la tendo la ndoa kwa mwanaume ni kubwa kuliko unavyofikiria.Inawezekana wewe ni mwanamke ambae mume wako ni mtumishi wa Mungu au mume wako ana cheo au wadhifa au anapenda sana familia na kwa kuwa siku za karibuni umeoana hakutumizii hitaji lako la kupendwa basi na wewe umeamua kumnyima tendo la ndoa hadi abadilike ndipo na wewe umpe mwili wako kwani una amini kwa namna alivyo hawezi kutoka!Usijidanganye!Hujasikia watumishi wa Mungu ambao wameanguka?Hata kama huna mood kinakushinda nini kutumia dakika tano tu kumpa hitaji lake na awe happy na wewe all the time?Katika kushauriana na wanawake wengi ambao waume zao hutoka nje wengi huruka na kukiri kwamba wanaume zao ni tamaa na shetani ndo amewatuma kufanya vitu kama hivyo hata hivyo mwanamke mmoja alikiri kwamba ni kweli ajisikia vibaya sana kwamba alihusika katika kusababisha mume wake kutoka nje kwani yeye alikuwa anajihusisha sana na watoto wake na kazi na hakupenda kabisa kumpe sex mume wake kwa muda mrefu.Mume mmoja alilalamika kwamba: “Ni kweli simlaumu mke wangu kwa mimi kutoka nje ila hawezi kutoka msafi katika hili kwani alinifanya kujiona mimi ni failure wa kila kitu nyumbani mwetu na sikuruhusiwa hata kumgusa miezi na miezi. Kama angenitii na kunipa hitaji langu la sex basi nisingetoka kwani mwanamke niliyetembea naye alinifanya nikisikia vizuri muda wote na kila alivyozidi kuniambia mimi ni mwanaume mzuri nilizidi kuwa karibu na huyo mwanamke na sikuwa na lengo la sex ila kutokana na respect aliyonipa ilifika mahali nikaamua kutembea naye hata kama sura na umbo lake linafanana na chimpanzee”.Soma barua ya mwanaume mwingine hapaMwanaume anahitaji sexual release kama mwanamke anavyohitaji emotional release.Bila tendo la ndoa mwanaume hujiona hujamtii au kumpa respect na moja kwa moja huanza kuwa na tabia zisizo za upendo kwa mwanamke.Wanawake wengi huwa na ndoto za kuhakikisha baada ya kuolewa mahitaji yao ya emotions yanatimizwa na waume zao hata hivyo wao wenyewe hujisahau kuwapa waume zao mahitaji yao ya tendo la ndoa na automatically inakuwa ngumu kwa mwanamke mwenyewe kutimiziwa mahitaji yake ya emotions.Namna mwanaume aliumbwa (anatomy & design) ni tofauti na mwanamke ndiyo sababu mwanaume anapenda tendo la ndoa na linampa satisfactions ambazo humfanya kukumchangamkia na kuchakarika kuhakikisha na yeye anamtimizia aliyemtimizia.Wewe mwanamke unapenda tendo la ndoa pale mwanaume anapokuwa karibu kimapenzi na wewe (affection & intimacy) hata hivyo kwa mwanaume ni reverse gear, tendo la ndoa ndilo humfanya mwanaume kuwa karibu na mwanamke.KUMBUKAShetani siku zote hufanya kila analoweza kuhakikisha wachumba wanajiingiza katika sex kabla ya ndoa na pia hufanya kila kitu analoweza kuhakikisha anawazuia wanandoa kuwa na sex katika ndoa yao.Jiangalie usiwe mmoja wao!Kwa maelezo zaidi soma

  NAMLALA UNONO JAMANI​
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  p diddy kulikoni,naona unabwaga sera tu
   
 3. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  hata mimi naona anavyomwaga sera sijui ndoa yake anaishughulikia saa ngapi ucku huu
   
 4. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hamna bana wote tunahitaji upendo,kama ni raha tunapata wote. So visingizio kwamba wanakosa intimacy ni uzushi mtupu!
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pdidy uwe unaacknowledge basi unakozitoa hizi topic and then utupe nafasi ya kuchangia one at a time sasa ukitupatia nyingi unatawanya michango yetu bana.

  Mada hizi ni nzuri zinajenga haipendezi kuziweka na watu wakazipuuza kwa kuwa zinakuja nyingi kwa wakati mmoja
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  source please?
   
 7. r

  rachel kusia Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pdidy hakika nakusifu, umeamsha ndoa nyingi leo zilizolala usingizi. Nasi tunapokea kwa kujirekebisha pale tulipozembea.
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Ndio zake siku hizi
   
 9. g

  gvyagusa Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WAPENDWA WANAJF

  KUNA MADA NZURI ZA NDOA NA MAHUSIANO ZIMEWEKWA NA MDAU MMOJA PDIDDY, LAKINI MTOA MADA HALISI ANAITWA MBILINYI, TEMBELEA BLOG YAKE: www.mbilinyiblogspot.com

  NAWASILISHA

   
 10. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Next time dont just copy and paste, you should do some editing, no paragraph, font style is bad.
  For something good like this has to be in good arrangement to make everybody read and finish. Next time you can try to make link to the original version ( if you are not selfish).
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  well ntd
  nakupa mji iringa!!!!!!!! kamba unanunua mwenyewe lakini
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  well ntd unajua Kumkumbusha babako kununua condom akitoka nje ya ndoa sio mbaya mbaya zaiidi ni pale unapojua ilipo alafu unajua babako anatoka nje ya ndoa na mwisho anamuua mamako ama na mtoto incase bado ziko active so wewe ulieacha kumnunulia ama kumchukulia chooni kwenye ofisini zenu unafanyika muwaaji zaidi..so ni vyema ukiwa kama mpendwa usisubiri baba aanze kuumwa kutoka vipeele ndio unapiga kelele jamani dadyyyyyyyy kwanini ukutumia CND??
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  mkuu heshima mbele hii dozi inaitwaje!?
   
 14. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Alishaambiwa mara nyingi naona haja yake msome tu na msitoe maoni yeyote
   
Loading...