Hata darasa la nane demand yao ipo juu pia...Tulioishia la saba ndio tuna soko.
Tulioishia la saba ndio tuna soko.
mnauzwa au mnajiuza?
Tulioishia la saba ndio tuna soko.
Maadamu mbona ndani ya kiswahili chako kuna kiingereza cha kufa mtu,,,ww si darasa la saba na hivyo soko lako liko chini kuliko unavyotaka.Tulioishia la saba ndio tuna soko.
Jamani, nimepitia threads humu, sioni wa kaka wanaotaka gf au mke mwenye masters?kwani hao hawafai kuolewa?utakuta mschana anavigezo vyote ila anakuwa limiyed na elimu yani akiwa na masters bas wakaka kawamtaki, kwann?