Kwa wale wanao amin kuwa Kuna Mungu,na Mungu ameumba upendo.swal langu ni ivi,unapomfuata binti au kijana wa kiume na kumwambia unampenda,unamanisha unampenda kwa upendo ule ule ambao Mungu...
Jamani wadau, wanaJF, upweke unanikondesha. Natafuta mtu ambaye yuko erious na maisha (man), anayetamani kampany ya ukweli kama ninatamani mimi, kwa pamoja tushirikiane katika sehemu ya maisha...
NI UKWELI TENA WAKUAMINIKA, TENA WAKUKUBALIKA.
WANAUME WANAONGOZA KWA KUSUSA MISOSI KAMA ADHABU KWA WENZA WAO
NA WANAWAKE WANAONGOZA KWA KUSUSA KUTOA SERVICE 6x6.
IVI NANI MSHINDI
Kila mara unapoona masuala ya mashindano ya urembo,kuna kitu kimoja
huwa najiuliza sana....
kwanza wahusika karibu wote ni wanaume watu wazima wenye wake na watoto..
hapa namaanisha...
Hivi maana yake nini, unaishi na mwanaume miaka 5 mmezaa watoto wawili,kiuchumi kidogo mnajiweza, lakini hataki kutangaza ndoa, kwenda kwenu wala kukupeleka kwao. na kila siku yupo busy na bint...
mi wana jamvi kuna swali najiuliza maana huwa naona wapenzi wengi wanapenda kuongea kwa simu na wapenzi wao usiku. sasa swali usiku ndo muda wa bure, malavidavi ndo yananoga au usiku una nini kwa...
hadi sasa hivi sijaelewa kama ni heshima,utii au adabu.
wasichana wa nachingwea ni watu wanaopenda story sana.sisi huku dar tumezoea kuagana na marafiki zetu kwa kusema "badae".
lakini wale wa...
Wakubwa kwema?
Jamani mwenzenu nimepata kanyumba ndogo kapya yani maisha raha kweli kweli.
Shida kanasema lazima nikapige bao zisizopungua tatu na mimi kweli siwezi nimezoea kabao kamoja v2 na...
Wadada tujuzane kuhusu hili.
Nikimwambia mpnz wangu anenepe(anakunja sura kuonyesha kutokubaliana na ninalosema)na kuanza kusema eti mbona kanenepa sana siku hizi,nikijaribu kumng'ang'aniza...
Mim naitwa BENJAMIN aka njabe.com wa A town and ungalimi also nina miaka 17 natafuta m room aka mchumba kuanzia miaka 17 kushuka chin atakama wew dad ni mkubw ata yule mdog wako wa secondary ariff...
Nimesoma riwaya moja inaitwa'TANGU NIPENDE',kilicho nishangaza jinsi mhusika mkuu alivyo zama kumpenda changudoa ambaye akaishia kuwa mke wake.Ivi hii inawezekana,binti unakutana naye kama kahaba...
wadau habari zenu,
nina dada yangu ana miaka 34 ana mtoto mmoja hajaolewa anatafuta mume amechoka kuishi maisha y a upweke , kazi yake anajishughulisaha na biashara...
Napata wakati mgumu kujua hasa in kipi cha muhimu zaidi kati ya kupenda na kupendwa na ni kipi ambacho watu tunahitaji,je tunahitaji kupendwa au tunahitaji tupate watu tutakao wapenda katika...
Hata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka
Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda...
Hali hii inahitaji uvumilivu kwa kuwa endapo utagundua mahusiano ya mwanamke huyo na mme wake wa zamani yanaendelea, tena jamaa anakuja hadi nyumbani kwako wakati umekwenda kutafuta. Je cha...
Mambo ya uswahili ni kawaida sana kuona choo cha passport size.
Kuna wapenzi huwa wanapenda sana kuoga pamoja bafuni hata chooni wanapenda kwenda pamoja.
Sasa kwa wale wapenzi wanao tumia vyoo vya...