Nyumba ndogo raha bana - wanaume tu

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Wakubwa kwema?
Jamani mwenzenu nimepata kanyumba ndogo kapya yani maisha raha kweli kweli.
Shida kanasema lazima nikapige bao zisizopungua tatu na mimi kweli siwezi nimezoea kabao kamoja v2 na mama.

Je nifanyaje? Nikachape au nikateme?
 
Tena unajiita mwanaume unakuja kutaka ushauri wa kipuuzi kama huu. unafikiri ni fahari kuwa na nyumba ndogo? grow up men?
 
Tena unajiita mwanaume unakuja kutaka ushauri wa kipuuzi kama huu. unafikiri ni fahari kuwa na nyumba ndogo? Kama mkeo anakushinda nyumba ndogo utaiweza? grow up men?
 
Tena unajiita mwanaume unakuja kutaka ushauri wa kipuuzi kama huu. unafikiri ni fahari kuwa na nyumba ndogo? Kama mkeo anakushinda nyumba ndogo utaiweza? grow up men?

Mzee kama wewe umeona ni upuuzi kwango siyo. Nyumba ndogo ndo inanifanya nipunguze stress.
 
Kama inakupunguzia stress si ungekuwa unajua bao za kupiga wala usingeomba ushauri. inakuongezea stress ndo maana hujui uamue nini!
 
kuna watu hawakunielewa na ile thread ya nyumba ndogo.....
sio lazima kila mwanaume awe na nyumba ndogo na wala sio ujanja wala fashion....

unaweza kuwa muaminifu kwa mkeo na ukawa MWANAUME ZAIDI....

Tatizo Boss umewaposha hawa mana inaonyesha sasa idadi ya wana Jf kuwa na nyumba ndogo itaongezeka.

Then umewafanya dada zetu humu wajione wanyonge na wakubali tu kuwa waume zao bila nyumba ndogo z impossible.

My take
usichopenda kufanyiwa na ww usimfanyie mkeo.
Kama hutaki kusalitiwa na ww usisaliti.

What goes around,comes around
Ni mtazamo tu.
 
kuna watu hawakunielewa na ile thread ya nyumba ndogo.....
sio lazima kila mwanaume awe na nyumba ndogo na wala sio ujanja wala fashion....

unaweza kuwa muaminifu kwa mkeo na ukawa MWANAUME ZAIDI....
It's too late now. Unaona sasa matokeo? ungefikiria consequences BEFORE you post.
 
take it from me
mwanaume aliekamilika hawezi kutafuta 'nyumba ndogo ' kwa sababu Boss amesema its okay hapa jf...

unless definition ya mwanaume imebadilika...
 
It's too late now. Unaona sasa matokeo? ungefikiria consequences BEFORE you post.

wapo wanaume na tena ni wanaume kamili hawafagilii nyumba ndogo
no matter what......
watu hufanya choices regardless nani kasema its wrong or right
do i have that big influence..???????
 
kuna watu hawakunielewa na ile thread ya nyumba ndogo.....
sio lazima kila mwanaume awe na nyumba ndogo na wala sio ujanja wala fashion....

unaweza kuwa muaminifu kwa mkeo na ukawa MWANAUME ZAIDI....

Hahahaaaaaaaaaa! Bosi pengine umesahau kwamba ukimfundisha mtu kuua, ni ngumu kudhibiti namna ya kuua. Wapo watakaotumia msumeno kuua, wapo watakaotumia kisu, wapo watakaotumia minyororo, wapo watakaoua kwa kufumua utumbo wa mtu n.k. Kifupi dhambi ukisha ianzisha, itaendelea kutokea kwa namna mbalimbali.

mtoto ukimfundisha wizi, huwezi kumdhibiti kiasi na aina ya mali ya kuiba mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom