Mwanamke akikupenda ni balaa

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
12,353
16,614
Hata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka


Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda kwanza kuliko mwanamke aliye kupenda kwanza
 

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,793
2,053
1. Hata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau paoja na kuwa aesubiri miaka kumi.
2. Atajifanya ni mwenye huzuni ila umwulize, akwambie ni kwa ajili yako;
3. Atakufanyia kila kilicho kizuri just kukufanya umkubali
4. ..........

Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke aliyempenda kwanza kuliko mwanamke aliye kupenda kwanza

Mi kuna mmoja kaniganda balaa nimeamua kubadili mpaka namba ya simu, email, ID ya FB na nimehama mtaa.
 

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
Ni kweli na nikawaida. nafikiri wao wanaona vitu ambavyo hata havionekani na wanaume , wanaona zaidi vitu vinavyoonekana kwa macho.
 

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,812
12,406
Inawezekana ni kweli, kuna mmoja aliniganda ikabidi nimtambulishe kwa girlfriend feki ili aache kunisumbua. Lakini alikomaa tu akasema hata kuiba poa tu!
 

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,219
17,980
Hapo tu ndio guys mnaniboaga... hua mnaona sifa.. anatokea dada wa watu anakupenda haambiwi... But because hujatumia nguvu kumtafuta na kawa wazi kwao basi unamuona kama ana mapungufu... na ukijua tu anakependa kiasi hicho utamueeeendesha... utamsimulia kwa rafikizo... utamsumbua hadi kumwambia aje kwako akufulie huku ukimounesha na kumpa matumaini you feel the same way BUT huku ukimcheka... inasikitisha. Ndio hapo sasa unakuja tumbukia kwa kichaa na kuishia kurusha uzi MMU "Mke wangu hashikiki.. Nisaidieni!!"

Na hilo la kupenda Mungu katujalia hapo... yaweza onekana kama ni udhaifu... lakini ndio maana Wanawake we are more Human than men and More inhuman than men depending na the way umekua affected.
 

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,902
3,077
Hata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka


Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda kwanza kuliko mwanamke aliye kupenda kwanza

nakubaliana na wewe 99%
 

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,223
2,902
Wanaume jaman hamna jema, mkipendwa tabu oooh king'ang'anizi,watu wakiwachakachua na kuwachuna ooohh hajatulia,hana upendo wa kweli,mnataka nn nyie viumbe?!!!
 
  • Thanks
Reactions: THT

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom