The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
Kila mara unapoona masuala ya mashindano ya urembo,kuna kitu kimoja
huwa najiuliza sana....
kwanza wahusika karibu wote ni wanaume watu wazima wenye wake na watoto..
hapa namaanisha waandaji,mapromota na hasa ile kamati ya Lundenga..
sasa huwa najaribu kupata picha ile siku ambayo mtu alikaa chini na kumwambia mkewe...
mfano....mke wa ngu kuna 'deal ' nimepata..nimechaguliwa kuwa mwanakamati wa Miss Tanzania...
au nimefanikiwa kushinda na kuwa muuandaji wa 'Miss Kinondoni....
au kampuni yetu inadhamini Miss Tanzania na leo tunaenda kambini kuwatembelea...
au hawa jamaa wote wake zao huwa wanashtukia tu habari kwenye ma TV kama sisi?????
wanayazungumza vipi haya mambo majumbani?
na wake zao 'honestly wanakuwa na sura ipi???hata kama hawapingi wakati wanapata taarifa??????
nahisi kuna 'uhondo' tunaukosa lol
au mtu akikutana na 'wakwe na in laws' unawaelezaje kuhusu shughuli zako?????
au mwanamke ambae mumewe ni 'promota wa urembo' anazungumza vipi kwa wenzake???