Natafuta 'Life Patner'

Primm

Member
Jul 22, 2011
28
0
Jamani wadau, wanaJF, upweke unanikondesha. Natafuta mtu ambaye yuko erious na maisha (man), anayetamani kampany ya ukweli kama ninatamani mimi, kwa pamoja tushirikiane katika sehemu ya maisha iliyobaki. Very serious!
 

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,783
2,000
weka cv ya kutosha
mfano:
umri
elimu
dini
urefu
umbile(mnene au mwembamba)
kabila
rangi(mweupe au mweusi)hatutaki majaribio maana hata wewe unatakiwa uweke vigezo vya unayemtaka
 

Primm

Member
Jul 22, 2011
28
0
Mwenye upendo na kuthamini, mcheshi, elimu ya kawaidaa, awe na income ya kussurpot maisha (not tajiri), sichagui kabila wala rangi. Mimi ni Mkristu.
 

Primm

Member
Jul 22, 2011
28
0
Ooooh Asante Msani. Hapa kuna vitu sijabainisha.

Umri - between 35 and 40
Elimu - wastani (some colleges after secondary school)
Dini - Mkristo
Umbo - wastani
Kabila - lolote
Rangi - yoyote
urefu - cm 170+
kipato - wastani
 

BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
2,000
Mwenye upendo na kuthamini, mcheshi, elimu ya kawaidaa, awe na income ya kussurpot maisha (not tajiri), sichagui kabila wala rangi. Mimi ni Mkristu.

nadhani unatakiwa kumpata anayejiheshimu na kueshimu , mnayeweza kusikilizana na kuelewana ,

upendo hakuna kipimo kamili
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
G Natafuta life patner Love Connect 4
M NATAFUTA SINGLE MOTHER Love Connect 8
Mt Paulo Natafuta mwenzi Love Connect 0
L Natafuta binti wa kumuoa Love Connect 4
M Natafuta mwanaume wa kunioa Love Connect 79

Similar Discussions

Top Bottom