Hasara za kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine.

Jul 20, 2011
50
4
Hali hii inahitaji uvumilivu kwa kuwa endapo utagundua mahusiano ya mwanamke huyo na mme wake wa zamani yanaendelea, tena jamaa anakuja hadi nyumbani kwako wakati umekwenda kutafuta. Je cha kufanya hapa ni nini? Ukiambiwa na majirani unakataa, ukimuuliza mkeo anakuambia ana muda mrefu hawajawasiliana hata kwa sim, wakati hapajapita siku tatu tokea wale raha na jamaa. Unahitaji uwafumanie ndio uamini kwamba bado wanaendeleza mavituzi?
 
kuzaa na mtu haina maana bado wana mahusiano. Kama walizaa, wakaachana, kila moja akaendelea na maisha yake, mawasiliano yanayobaki ni malezi ya mtoto tu. Ukiona wanaendelea kukutana kimwili pana walakini. Hafai mwache tu akaliendeleze na mzazi mwenzie. Tena wanafanya ndani mwako? Huyo mwanamke hana adabu. Temana nae
 
Back
Top Bottom