my sister anatafuta mume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

my sister anatafuta mume

Discussion in 'Love Connect' started by soledad, Oct 3, 2011.

 1. s

  soledad Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  wadau habari zenu,

  nina dada yangu ana miaka 34 ana mtoto mmoja hajaolewa anatafuta mume amechoka kuishi maisha y a upweke , kazi yake anajishughulisaha na biashara , ni mrefu wastani, mnene wastani , mweupe na ni mrembo and very hard working . atakayependezewa ntawaunganisha thanks
   
 2. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  duh weka picha
   
 3. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baba wa huyo mtoto wake yupo wapi? Na mtoto ana umri gani?
   
 4. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 5,625
  Likes Received: 2,204
  Trophy Points: 280
  ni Pm picha..
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  kakutuma umkuadie? Hii kali.
   
 6. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Pesa ipo nataka shuga mumy.
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  We unampenda dada yako kweli?
   
 8. E

  Emeka Onono Senior Member

  #8
  Oct 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anampenda,ndio mana anamsaidia,we husninyo vp?
   
 9. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,272
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hilo moja, la pili ni,wewe sio 'dada yako'?
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,708
  Likes Received: 8,507
  Trophy Points: 280
  mwambie atafute mwenyewe, huwezi kurembua kwa niaba yake, kinyume chake wewe ndo unatafuta mume.
   
 11. Savimbi Jr

  Savimbi Jr JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Nauliza kwa nini hapa jamvini kila mtu akipost oh mara rafiki yangu oh mara dada/kaka yangu kwanini usisema mie mwenyewe? kwanini kunatatizo gani??
   
 12. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ukiwa na mtoto ni sawa na kuomba kazi ukiwa na criminal record au umefukuzwa kazi at last employment, lazima utoe maelezo nini kilijiri, Baba yake yuko wapi, kwanza ana baba huyo mtoto au ulichakachuliwa na stranger na kaingia mitini, mtoto ana umri gani, mliachana achana vipi na baby father, do you know his last name, jamaa ana show up at the front door kila weekend kuangalia mtoto au ni vipi? Je wewe unalipa kiasi cha ku offset hii stigma ya kuzaa zaa ki-single single?
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  sio dada yangu.
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  anamsaidia au anataka ampoteze!
   
 15. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #15
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,678
  Likes Received: 2,619
  Trophy Points: 280
  Mwonee huruma huyo dada yako maana tutamchakachua na kupotea zetu bure! Labda ni wewe!
   
 16. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #16
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,329
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Makuwadi wameongezeka....TRA hebu anzeni kutoza kodi.
   
 17. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nadhani ingekua vizuri dada yako aje mwenyewe sababu wanaume watakuuliza maswali mengi utashindwa kujibu...
   
 18. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nahisi ni wewe unatafuta, unajaribu kutuzuga. Hivi ki ukwei kuna mtu anamtafutia mwenzie mchumba? Excuse us girl!
   
 19. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nina kaka yangu anatafuta mke.
  Ana miaka 31.
  Hana mtoto.
  OTIS.
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hahahaha... Nimecheka sana!
   
Loading...