Ndoa au ujinga?

Erika

New Member
Oct 17, 2011
4
0
Hivi maana yake nini, unaishi na mwanaume miaka 5 mmezaa watoto wawili,kiuchumi kidogo mnajiweza, lakini hataki kutangaza ndoa, kwenda kwenu wala kukupeleka kwao. na kila siku yupo busy na bint huwa anadai ni x-girl friend wake, ampigie simu,amtumie ela, amfanyie kazi zake za shule. anadai hawezi kuacha kuwasiliana nae kwa sababu pia wanatoka kijiji kimoja na wanaundungu, kuhusu ndoa unapomkumbusha anakwambia hilo ndo jambo la maana kuongelewa lkn dakika moja amesahau mpaka utakapomkumbusha tena jibu ni lilelile.nipo jia panda maana hata ndugu zangu wanaogopa kunitembelea wakiamini hapa hamna ndoa. Wanangu hawajabatizwa nimeenda kanisani nikaambiwa hamna ndoa hakuna watoto kubatizwa. Nifanyeje maana nimembeleeleza nahisi kukata tamaana niondoke nikaanze maisha yangu na wanangu ili aendelee kutafakari anataka nini.
 
Karibu JF da Erika...pole sana, wasubiri tu wataalamu wa masula ya mahusiano wapo wengi hapa JF.
 
Hebu nipe tafsiri ya ndoa dada yangu maana kisheria nyie ni mume na mke siku nyingi sana...
Ila kama watafuta wa kumlaumu kwa haya yote basi jitupie lawama mwenyewe kwani ulikubali kuishi nae kiunyumba bila ndoa...labda utusaidie kutuambia makubaliano yenu ya mwanzoni yalikuwaje...
Tafakari...ujinga u kwako au kwake.
 
Ndoa si makaratasi mpendwa, ndoa ni upendo. kama hayo ya upendo anayatimiza. tulia ila akili kichwani hasa kwenye mambo ya mali...invest kwa wanao na uhakikishe mnawawekea investiment za maisha kwa majina yao kama viwanja, nyumba, shares kwenye makampuni etc. Ili siku kikitibuka akaamua kuoa kanisani usijepata ptessure. Lakini pia wafate watu wake wa karibu au wazee mkae wote muyaongee ili uelewe. Hata hivyo pole...i know how confusing it is. na huyo ex galfriend wake...mmmh. kaa chonjo.
 
Pole sana Erika, Tatizo kama lako limekuwa ni sugu katika jamii ya sasa watu wengi wanaishi tu bila kushirikisha hata ndugu zao. Cha msingi mtafute ndugu yake/Rafiki au mtu mwenye ushawishi mkubwa kwake ili ajaribu kumshawishi. Ila nahisi kama hakuna ndoa hapo kama anaendelea kuwasiliana na X girl friend wako kwa ukaribu kiasi hicho.
 
kiukweli najiona mjinga mimi,ndo maana nimetafakari ili nitafute mwelekeo sahii, ili watoto wabatizwe niachane nae nirudi kanisani watoto wabatizwe wakue kikristo au tufunge ndoe watoto wabatizwe. au nikae nae hivihivi na ndugu zangu wasitutambue na watoto wasibatizwe.
 
Dada angu kwa sheria ya nchi hii,hiyo ni ndoa,lakin sema kwa sheria za kidin ndo pnye utata,kama hataki kuktambulisha kwao kamtambulishe kweni umuone ata comment vip,ila kuwa patient kila kitu kina muda wake,give him chance
 
Hebu nipe tafsiri ya ndoa dada yangu maana kisheria nyie ni mume na mke siku nyingi sana...
Ila kama watafuta wa kumlaumu kwa haya yote basi jitupie lawama mwenyewe kwani ulikubali kuishi nae kiunyumba bila ndoa...labda utusaidie kutuambia makubaliano yenu ya mwanzoni yalikuwaje...
Tafakari...ujinga u kwako au kwake.
kiukweli najiona mjinga mimi,ndo maana nimetafakari ili nitafute mwelekeo sahii, ili watoto wabatizwe niachane nae nirudi kanisani watoto wabatizwe wakue kikristo au tufunge ndoe watoto wabatizwe. au nikae nae hivihivi na ndugu zangu wasitutambue na watoto wasibatizwe.
 
Pole sana Erika, Tatizo kama lako limekuwa ni sugu katika jamii ya sasa watu wengi wanaishi tu bila kushirikisha hata ndugu zao. Cha msingi mtafute ndugu yake/Rafiki au mtu mwenye ushawishi mkubwa kwake ili ajaribu kumshawishi. Ila nahisi kama hakuna ndoa hapo kama anaendelea kuwasiliana na X girl friend wako kwa ukaribu kiasi hicho.
Nimeshawashirikisha rafiki yake yeye na mwingine rafiki yetu wote, hata wao mpaka leo wananambia wanaona utata wakiongea nae anacheka yanaisha.
 
Mnyime ''chakula cha usiku'', pengine atakuelewa, kama kila akitaka unampa kuna haji gani ya kutangaza kuoa., samaki ushamvua chambo cha nini sasa?
 
Muulize yeye, Ila anavo fanya sio sawa. Kama utaweza kumweleza ulivo tueleza hapa ataona uko serious na nadhani atachukua uamuzi.
 
hahahahahahaha ahhahahaha hahaha ahahahahah ahahahaha ahahahaha ahahahahah ahahahahah nashindwa hata kuchekla mabavu zaweza vunjika maana mna watoto hamna ndoa fanya mpango wa kumshawishi la sivyo ni hatari
 
Hivi maana yake nini, unaishi na mwanaume miaka 5 mmezaa watoto wawili,kiuchumi kidogo mnajiweza, lakini hataki kutangaza ndoa, kwenda kwenu wala kukupeleka kwao. na kila siku yupo busy na bint huwa anadai ni x-girl friend wake, ampigie simu,amtumie ela, amfanyie kazi zake za shule. anadai hawezi kuacha kuwasiliana nae kwa sababu pia wanatoka kijiji kimoja na wanaundungu, kuhusu ndoa unapomkumbusha anakwambia hilo ndo jambo la maana kuongelewa lkn dakika moja amesahau mpaka utakapomkumbusha tena jibu ni lilelile.nipo jia panda maana hata ndugu zangu wanaogopa kunitembelea wakiamini hapa hamna ndoa. Wanangu hawajabatizwa nimeenda kanisani nikaambiwa hamna ndoa hakuna watoto kubatizwa. Nifanyeje maana nimembeleeleza nahisi kukata tamaana niondoke nikaanze maisha yangu na wanangu ili aendelee kutafakari anataka nini.
ULIDHARAU MWIBSA SASA MGUU UMEOTA TENDE

To me i think it may be late kwani mmezaa watoto waiwli, umelea tabia hiyo mbaya for 5 years and many more

Kama una uwezo jaribu kukaa kando, kama huna uwezo vumilia au jitutumue kujenga misingi mipya ya ndoa... but one thing you must do, akina mama wengi wakiolewa wanajilegeza.... anza kujipendezesha na kuwa modern, utaona anashituka
 
Kuwa na msimamo kuwa mkali jinsi unavyomchekea ndivyo unavyo mlealea,Wahenga wanasema ukicheka na nyani utavuna mabua.
 
Mnyime ''chakula cha usiku'', pengine atakuelewa, kama kila akitaka unampa kuna haji gani ya kutangaza kuoa., samaki ushamvua chambo cha nini sasa?
Ungekuwa ni wewe yamekukuta hayo halafu ukashauriwa hivyo ungejisikiaje. Toa ushauri unaokubalika Mkuu.
 
ULIDHARAU MWIBSA SASA MGUU UMEOTA TENDE

To me i think it may be late kwani mmezaa watoto waiwli, umelea tabia hiyo mbaya for 5 years and many more

Kama una uwezo jaribu kukaa kando, kama huna uwezo vumilia au jitutumue kujenga misingi mipya ya ndoa... but one thing you must do, akina mama wengi wakiolewa wanajilegeza.... anza kujipendezesha na kuwa modern, utaona anashituka

Usemi wa cku hz ni kwamba mwanamke kuolewa ni bahati na ni kweli kabisa dada wa watu alikuwa anajaribu bahati yake akapata ila haijaidhinishwa kisheria na kikanisa, hivyo hakukosea. Wa kulaumiwa ni huyo kijana. KIPIMO UMPIMIACHO MTU NDICHO UTAKACHOPIMIWA.
 
pole sana dada..
hivi hadi mnafikia hatua ya kuamua kuishi pamoja muda wote na kupata baraka ya watoto wawili hamkuwa na malengo??? au mliishi kwa ushawishi fulani???
 
Hivi maana yake nini, unaishi na mwanaume miaka 5 mmezaa watoto wawili,kiuchumi kidogo mnajiweza, lakini hataki kutangaza ndoa, kwenda kwenu wala kukupeleka kwao. na kila siku yupo busy na bint huwa anadai ni x-girl friend wake, ampigie simu,amtumie ela, amfanyie kazi zake za shule. anadai hawezi kuacha kuwasiliana nae kwa sababu pia wanatoka kijiji kimoja na wanaundungu, kuhusu ndoa unapomkumbusha anakwambia hilo ndo jambo la maana kuongelewa lkn dakika moja amesahau mpaka utakapomkumbusha tena jibu ni lilelile.nipo jia panda maana hata ndugu zangu wanaogopa kunitembelea wakiamini hapa hamna ndoa. Wanangu hawajabatizwa nimeenda kanisani nikaambiwa hamna ndoa hakuna watoto kubatizwa. Nifanyeje maana nimembeleeleza nahisi kukata tamaana niondoke nikaanze maisha yangu na wanangu ili aendelee kutafakari anataka nini.

Erika naomba nikujibu kesho..............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom