wasichana wa nach' nashindwa kuwaelewa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,851
hadi sasa hivi sijaelewa kama ni heshima,utii au adabu.
wasichana wa nachingwea ni watu wanaopenda story sana.sisi huku dar tumezoea kuagana na marafiki zetu kwa kusema "badae".
lakini wale wa nach' ukimwambia badae lazima badae akutafute.

Mi nilishangaa nafuatwa 9t kali na msichana.kumuuliza nimsaidie nini eti mda ule si ulisema tutaonana badae? nkashangaa!!
kesho yake mwenyeji wangu kaniambia hawa wasichana wa huku ndivyo walivyo.hawana longolongo.
mia
 
mmmmh! wewe mzushi wewee!

mhhhhhhhhh!....sijui_sijawahi fika nachingwea,..ila nachojua ni kwamba kuna dada kule kijijni alikua daktari/nesi wa hospital ya kata yetu na alipanga home,..wadogo zake wawili walikuja kumtembelea nikawamega wote_sista yao akashtukia akaenda kumwambia mshua_mshua akaja juu,...ni kama hawajui kukataa vile,...lakn ni wazuri wa sura....anyway nilikua nasoma kidato cha 1,......i miss them sana i wish nipate trip ya nachingwea ili angalau nipafahamu
 
Acha kuwasema vibaya dada zangu. Ukifika Nach nitafute nikupe story zaidi za mabinti wa Kimwera
 
siwasemi vibaya mkuu,..ni wazuri na ninawapenda sana kiongozi wangu,...siku nikija ntakuarifu mkuu
 
hapa napita tu, mana sikujui nachingwea mm. Hv hiyo wilaya ipo mkoa gani vile mana nimeshasau!
 
salam alkyum sasa naona jamvi halinihusu kabisa hasa hapa sikusi badae
 
Mmmmh!haya Igwe!may b alikuheshimu tu na kuwa mkweli kwa kutimiza ahadi ya badae!sasa ww ulimjibuje?au nn kilifata baada ya ww kuambiwa hivyo?
 
wavulana wa kule wanatongoza kwa mafumbo na wasichana wanakubali kwa mafumbo.akiguna au akakaa kimya huku kakutolea macho ndo kakubali hivyo.kama hakutaki ukamsalimia hata mala 100 hakujibu ng'o!.yaani hawaeleweki.mia
 
Itabidi wawe wanatongozana wenyewe kwa wenyewe maana wengine watakuwa hatuwaelewi!km Igwe wa watu kasema badae binti kaibuka kweli,wakati huku ni kuagana tu!kazi kweli kweli!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom