Tueleweshane kuhusu hili

IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,462
7,381
Wadada tujuzane kuhusu hili.
Nikimwambia mpnz wangu anenepe(anakunja sura kuonyesha kutokubaliana na ninalosema)na kuanza kusema eti mbona kanenepa sana siku hizi,nikijaribu kumng'ang'aniza anarusha mawe.

Akiniona nasalimiana ama kuongea na mwanamke mnene_anasema unapenda niwe kama huyo mdada,na mm kwa kujua ananitega naamua kupotezea,..life goes on

Leo niko hapa kibaruani kwangu,nimekutana na dada ambaye ninafanya nae kazi na ni rafiki yangu(hakuwepo kwa almost 1 month)nimemwambia amenenepa kaja juu/kakasirika kimtindo.....nikakumbuka yale yaleeeee ya kwa mpnz wangu.

My take:Hivi dada zetu mbona hampendi sana kunenepa/kuambiwa mmenenepa?.
 
wewe unapenda kunenepa?
nini faida za unene?

Yeah!...mimi ni mnene,..napenda majimama manene,......je?...wewe bebii ni mnene,...na kwa nini hampendi kuambiwa wanene,
 
Yeah!...mimi ni mnene,..napenda majimama manene,......je?...wewe bebii ni mnene,...na kwa nini hampendi kuambiwa wanene,

mimi pia ni mnene.....(ofcoz najua unajua hilo).......na nazidi kunenepa.......lakini kama unajua hataki kunenepa si umuache....unamkera ujue.......(na wewe upungue sasa....khaaa.....ka kitufe....)
kumwambia mwanamke yeye ni mnene ni kumnyanyapaa....(nisiulizwe kwa nini)
 
yap_Preta nimekupata,yaani hata comment zenu zina harufu ya hasira flan hivi,...lakn na wewe unatakiwa upungue kidogo bana,...mimi sitaki kupungua hata kidogo_zaidi ndio ntaongeza kidogo
 
yap_Preta nimekupata,yaani hata comment zenu zina harufu ya hasira flan hivi,...lakn na wewe unatakiwa upungue kidogo bana,...mimi sitaki kupungua hata kidogo_zaidi ndio ntaongeza kidogo

mi sipungui wala nini.......ni kweli kunenepa huwa wadada wengi hawapendi lakini pia kuna wachache kama sisi ambao tunajivunia unene wetu.....
 
mi sipungui wala nini.......ni kweli kunenepa huwa wadada wengi hawapendi lakini pia kuna wachache kama sisi ambao tunajivunia unene wetu.....
sasa mnatupa shida sisi tunaotaka mijimama,...kwetu kijijin ukimpeleka mwanamke kama feis buku_mshua lazima arushe mawe akifikiri haujui kumtunza mwanamke,....sasa wengine hatupendi kugombana na wazazi bana
 
Back
Top Bottom