DEVINE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 536
- 86
Nimesoma riwaya moja inaitwa'TANGU NIPENDE',kilicho nishangaza jinsi mhusika mkuu alivyo zama kumpenda changudoa ambaye akaishia kuwa mke wake.Ivi hii inawezekana,binti unakutana naye kama kahaba anayejiuza mnaishia ndoa tena mapenzi ya dhati?! HEBU NAOMBA MNIJUZE.