Habari zenu wana MMU?
Mwenzenu nina changamoto nahitaji kujua kama nanyi pia mna/mmekutana nalo katika maisha ya urafiki na uhusiano na je mlitatua vipi? ili na mimi niweze kujiona sawa...
jamani mnakumbuka kuhusu yule mpenzi wangu wa humu kutokana na hali ya ujauzito nilionao
na swala la kufunga ndoa ,inabidi tupime afya zetu kiukweli naogopa sana jamani nisaidieni naona furaha...
Ni kisa cha weekend kwa kweli; jamaa yangu mmoja kaja juu dhidi ya mke wake kwa sababu mkewe ka-admit kwake kuwa ni kweli yuko attracted to a co-worker japo huyo co-coworker hajajua kabisa...
Nina rafiki yangu, yuko majuu kutafuta riziki, kaacha mke Bongo, jamaa ataka kila mara akimpigia simu mkewe, aambiwe kila kitu na mkewe, katongozwa, kachokozwa na watu na kila udaku mtaani. Mke...
Wapendwa kuna mpangaji mwenzangu kapata demu mcheza shoo anampenda sana tatizo huyu demu kila cku anarud saa 9 au 10 alfajiri na anakuwa amechoka sana kutokana na kaz yake ya kukatika majukwaani...
wanawake,hivi huwa mnajisikia wanaume wasipowatongoza?kuna binti rafiki yangu na huwa tunashauriana mengi,amenipa malalamiko na amekuwa na majonzi katika maisha yake, kuwa ni muda sasa,yapata...
Binadamu akifikia miaka 9 14 mwili huanza kubadilika. Hiki ni kipindi ambacho msichana au mvulana hubadilika kutoka utoto na kuwa mtu mzima na hiki kitendo huitwa balehe na moja ya dalili ni...
nimeshindwa jinsi ya kumkwepa huyu dada.
Mrembo kweli anasema kanizimia ,ila ni bar maid(kwangu sio kosa ila perception ya wanaonizunguka),bar yenyewe iko karibu na home ,nisipoenda atakuja...
Habari wana jf leo nina hitaji ushauri wenu, kuna rafiki yangu huku mwanza ana mchumba wake wamepanga waoane mwakani february lakini sasa huyu jamaa anaishi mwanza mchumba wake(msichana) dar es...
Mijitu mingine ni kama wingu jeusi, ikiondoka tu siku yako hung'aa.
Je umewahi kukutana na miwatu ya aina hii?
Ukiwa nalo magundu yanakuandama, mara marafiki wanakutenga, dili zinagonga mwamba...
yametokea kinondoni,mwanamke kenda kubandika nyusi,msusi kwa ubahili wake badala ya kutumia gundi yake maalum kambandikia superglue,mama kilio,kwenda ccbrt kafanyiwa operesheni ya kutoa...
Habari za sahizi wanajamvi....natumai mnaenjoy weekend.
Naomba mnijuzi haya maswala mawili.
1.Swala la mapenzi a) Napenda kujua kwamba mnapokuwa kwenye uhusiano wa mapenzi moja wenu anapokuwa...
Kutokana na kisa cha kweli
SURA YA 10
Kutoka mwanzo....
Kutwa nzima moyo wa Erica ulikuwa ukimwenda mbio na kumshtuka shtuka. Alikuwa na wasiwasi wa aina yake lakini ulikuwa ni...
"About one out of 10 married adults - 12 percent - say that they typically sleep alone. Source: National Sleep Foundation"
Ni kweli jaman?? je wewe mume/mke haijawahi kukutokea,
Habari zenu wana jf,mi mgen humu ndani,nilikuwa naomba msaada wenu wa kimawazo kuhusu hili.
Kaka yangu alimpenda msichana mmoja.mara za mwanzo mwanzo msichana alikuwa hampendi,ikafika sehemu...
Ndugu zangu naomba usauri wenu ,,, nini ni mwanafunzi wa chuo.nilikuwa na nchumba wangu wa kidato cha 6,,alikuwa akinidharau sana,matusi sana,na alikuwa hakiniwekea masharti wakati wa kula...