Ujauzito wa jf na majibu ya HIV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujauzito wa jf na majibu ya HIV

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ma jery, Oct 31, 2011.

 1. m

  ma jery Senior Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mnakumbuka kuhusu yule mpenzi wangu wa humu kutokana na hali ya ujauzito nilionao
  na swala la kufunga ndoa ,inabidi tupime afya zetu kiukweli naogopa sana jamani nisaidieni naona furaha yangu inapotea ghafla
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  mmmhh.......
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  daaaah? Nenda angaza watakupa tu ushauri nasaha kabla na baada ya kupima wana wataalamu pale
   
 4. marida

  marida Senior Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole dada,umetafuta bwana mtandaoni?,ndo madhara yake hayo.Kapime tu.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Usiogope kupima ukikutwa unavyo au huna yote ni matokeo cha msingi ujue jins ya kukabiliana nayo
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  kwanza ukiwa mja mzito lazima upime vvu na wewe ulishasema kuwa una ujauzito...na hii ni compasory.....halafu naona huu ujauzito(kama kweli unao) naona kama ulikuwa umepania kweli na umri umekutupa nini maana kila siku thread zako mara jukwaa la doctor mara huku haziishi!!!!

  kupima ni muhimu lakini pia siku hizi kuna vipimo waweza kujipa mwenyewe....
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Jamani! Ina maana tangu ulivyotujuza hali yako na ushauri tuliyokupa ina maana bado ulikuwa hujaenda kwa wataalam? Nenda leo leo maana Mi naona umechelewa mpaka sasa.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  jf is never boring....lol
   
 9. m

  ma jery Senior Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipimo gani nijipime mwenywewe?
   
 10. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,239
  Likes Received: 626
  Trophy Points: 280
  kipimo chenyewe kinaitwa "DETERMINE"
   
 11. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  teh teh teh!!! langu cheko tu lol!! hii ndio JF
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tatizo lako nini hasa?
   
 13. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  sasa mama hadi unafikia maamuzi ya kubeba ujauzito nini hasa kinakuogopesha tena nnilitegemea ungekuwa wa kwanza kwenda kupima kabla ya kila kitu kwa ajili ya kupata ushauri nasaha kwa mwana mtarajiwa kama utakuwa umeupata na ndio ufikirie ndoa .. je waona ndoa ys thamani zaidi ya huyo mtoto uliyenaye???
   
 14. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Shosti ivi ulimuamini sana huyo bwana au alikueleza nini mpaka ukampa bila kinga? au mlisha pima kabla yakuingia kwenye uwanja wa nipe yote usinibanie? haya chamsingi nenda ukajiangali mama lakini usijali sana tarajia majibu mazuri...
   
 15. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shost maadam una kamjusi
  huna ujanja wa kukwepa
  we kapime tu ujue moja.
   
 16. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  usiogope mama,nenda tu kapime, kawa mzima Sinta itakuwa wewe!!
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,209
  Likes Received: 414,657
  Trophy Points: 280
  mlipokuwa mnabebeshana ujawepezi mbona hukutafuta ushauri kwetu kuhusu afya zenu?
   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Pole sana mpendwa,japo ulijirisk sn,kwa kufanya mapenz kabla hamjapima na kujua afya zenu na kupata ushauri,cha msingi tafuta kituo cha kupimia na ukapime kwanza ukiwa peke yako uyajue majibu vyovyote itakavyokuwa utapewa ushauri na uwe mkweli uwaeleze situation kwan kwa namna yoyote km jamaa naye anajali ipo siku atakushika mkono muende wote kupima,na ukishapima na kujijua tafadhali fauata ushauri utakaopewa kulingana na majibu yako na mshauri na mwenzio mkapime wote ili kila mtu ajue afya ya mwenzake.
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Siku hizi haina ujanja ni kupima tu.
   
 20. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We ma jery ,Kwa nini ulianza mahusiano bila kupima.Kwa hali ya sasa si vizuri kuanza mahusiano na mtu bila ya kupima kwanza .Omba sana Mungu na ukapime kwani kama u mjamzito kupima haikwepeki.All the best.
   
Loading...