Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,269
- 163,413
Mijitu mingine ni kama wingu jeusi, ikiondoka tu siku yako hung'aa.
Je umewahi kukutana na miwatu ya aina hii?
Ukiwa nalo magundu yanakuandama, mara marafiki wanakutenga, dili zinagonga mwamba, maisha yanakuwa magumu. Ukiachana nae , mashallah, kila kitu kinakunyookea