nakupenda, unae,nipe nafasi

laun

Senior Member
Sep 5, 2011
111
26
nimeshindwa jinsi ya kumkwepa huyu dada.
Mrembo kweli anasema kanizimia ,ila ni bar maid(kwangu sio kosa ila perception ya wanaonizunguka),bar yenyewe iko karibu na home ,nisipoenda atakuja kuniulizia home au kunipigia simu. Sitaki ku-do nae hata mara moja coz utakuwa mwanzo wa mazoea mabaya
Pili nimemweleza nina gf ingawa yuko mbali lakini bado kakomaa na mimi.
Simuombi ofa ya vinywaji ila akiniona tu nimefika bar tayari analeta. Nashindwa kukataa cz anaweza kuumia lakini namwonea huruma expenses anazo-incur kwangu cz chemistry haipo .
Nimeshawahi kuwa katika hali kama yake kwa binti mmoja for two yrs halafu mwisho wa siku nikaambulia za mbavu,najua maumivu niliyoyapata ctaki nimuingize binti wa watu ktk maumivu hayo.
Nitumie njia gani ya kistaarabu ili aweze kunielewa ,ninavyoandika thread hii binti amepiga simu mara 4
 
wewe nae bwana....mbona mademu wikiwa hawakufee they are straight to the point...sasa wewe washinddwa nini kumwambia kuwa hum-feel?
hapa hata ufanyaje na utafute maneno gani lazima itamuuma tuu...sasa bora uwambie kuwa no chance at all!!!!
 
Mwambie hata mi nimekupenda ila nahesabu siku za kuishi na sitaki ujute baadaye,hapa nilipo nina ngoma.
 
Mwambie huwa kipindi cha baridi akili zinakuruka. Hatapenda kuolewa na chizi na mchezo utakuwa umeisha.

Lengo lake sio kuolewa kwani nshamweleza nina gf amesema yuko tayari kuwa na mimi hata kama ninae.
 
Kuumia lazima wala hakuepukiki, we mchane live tu tena ukiwa serious kabisa na hizo offer usitishe manake ndo zinazompa matumaini! Ukijifanya baba huruma basi jiandae kumpoteza wa ukweli manake akijagundua tu lazima kinuke!!
 
Weita ongeza taska hapaa... alafu hebu sogea huku nikushike manahiii, naona yako malaini sana leo, sijui umeanza kutumia za kichina... (ala, kumbe we mpenz wa mtu...)
 
hivi kuna mwanaume mnywaji ambaye hajawahi kupenda baa medi???
 
Kuumia lazima wala hakuepukiki, we mchane live tu tena ukiwa serious kabisa na hizo offer usitishe manake ndo zinazompa matumaini! Ukijifanya baba huruma basi jiandae kumpoteza wa ukweli manake akijagundua tu lazima kinuke!!

hapo umenena
 
haaaa haaa.akimwambia na mimi nina ngoma pia.na itakuwa vizuri,kwani wote positive
aji

UDOM ilishawahi tokea demu anangoma kweli mshikaji naye kajidai anao then demu akatiki jamaa kala mzigo kama kawa demu dozi ikaisha kamuuliza jamaa wapi anachukua dozi yake.. kilichotokea hapo anajua jamaa mwenye tulisikia tu kasepa kimya kimya... DANGER HIYO KUWA KAMA YUSUPH KWA MKE WA MFALME.. KIMBIA FASTER
 
nimeshindwa jinsi ya kumkwepa huyu dada.
Mrembo kweli anasema kanizimia ,ila ni bar maid(kwangu sio kosa ila perception ya wanaonizunguka),bar yenyewe iko karibu na home ,nisipoenda atakuja kuniulizia home au kunipigia simu. Sitaki ku-do nae hata mara moja coz utakuwa mwanzo wa mazoea mabaya
Pili nimemweleza nina gf ingawa yuko mbali lakini bado kakomaa na mimi.
Simuombi ofa ya vinywaji ila akiniona tu nimefika bar tayari analeta. Nashindwa kukataa cz anaweza kuumia lakini namwonea huruma expenses anazo-incur kwangu cz chemistry haipo .
Nimeshawahi kuwa katika hali kama yake kwa binti mmoja for two yrs halafu mwisho wa siku nikaambulia za mbavu,najua maumivu niliyoyapata ctaki nimuingize binti wa watu ktk maumivu hayo.
Nitumie njia gani ya kistaarabu ili aweze kunielewa ,ninavyoandika thread hii binti amepiga simu mara 4

Solution mojawapo ya kumpiga mtu chini au kibuti cha kistaarabu ni kupunguza mawasiliano naye mf kama ulikuwa una mtumia sms >=5 daily unapunguza taratibu kuchat naye mpaka inafikia hata kwa week unachat naye mara 2 then unakuja kumpotezea kabisa, kama ulikuwa lazima uongee naye daily mara 3(mf mrng dear,itz lunch time,g9t) unapunguza kabisa hata siku nyingine unampotezea, kama ulikuwa unaonana naye daily may be mara 2 hakikisha unamkwepa ipaswavyo kwanza bar hama then hata akija skani unajidai unashughuli uko bize so now hamuwezi kuongea.... Mi nimefanikiwa kawa hayo niliyo kueleza..TRY IT SERIOUSLY
 
acha mawasiliano nae. Pia hyo bar usiende. Zaidi vunja ukimya. Mweleze ukweli. Halafu na wewe namba yako dada wa watu aliipataje?
 
Mwambie kama ulivo twambia hapa, lazima ataelewa. mbona sisi tumeelewa?
Mathieu (5:37) inasema NO should mean NO. sio unasema NO, huku bado unaenda bar anapotumika na kunywa bia yake. Akija home unampokea na unamwambia GF yuko mbali, unapokea sim zake etc. NO gani imelegea hivo kaka? Be polite but tough.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom