...msipotongozwa huwa mnajisikiaje?

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,991
2,109
wanawake,hivi huwa mnajisikia wanaume wasipowatongoza?kuna binti rafiki yangu na huwa tunashauriana mengi,amenipa malalamiko na amekuwa na majonzi katika maisha yake, kuwa ni muda sasa,yapata miaka 3 toka ameachana na x wake lakini cha ajabu hakuna mwingine aliyejitokeza hata wa kumdanganya tu kuwa anampenda!anajihisi upweke wa ajabu lakini ndio hivyo tena!!sasa anafikiria kwenda hata kwa wataalamu kwani kama kusali anahisi imefikia kikomo!ana miaka 36 na kwa kweli ni mtafutaji mzuri wa fedha hivyo maisha yake hayamshindi!tumshaurini wadau,afanyaje sasa?
 
...ana miaka 36 na kwa kweli ni mtafutaji mzuri wa fedha hivyo maisha yake hayamshindi!tumshaurini wadau,afanyaje sasa?

if she is damn busy na kutafuta pesa, mwanaume gani yuko interested na mtu wa age 36 asiyetaka hata kusocialize? angekuwa anasocialize angeshapata hata wa kumtongoza. Inaonekana huyo hata nyumba za ibada haingii, yeye ni kukimbizana na noti tu.
 
Mwambie ajichanganye na watu pesa si kila kitu atashinda kutafuta tu pesa huku umri unasonga.....clock ticking.....tik tok tik tok......
 
Bora tusaidiane kushangaa B'..kumbe siku hizi 36 ni mabinti??..kweli ukistaajab ya musa!
nachopendea JF hata lugha wanasahihisha,kweli sio binti at that age,wakati naandika nlikuwa fasta kuwahi daladala iliyokuwa inanikaribia
 
Back
Top Bottom