Faida ya mlima na tambarare;soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida ya mlima na tambarare;soma hapa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 3, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Binadamu akifikia miaka 9 – 14 mwili huanza kubadilika. Hiki ni kipindi ambacho msichana au mvulana hubadilika kutoka utoto na kuwa mtu mzima na hiki kitendo huitwa balehe na moja ya dalili ni kuota kwa nywele kwenye makwapa, sehemu za siri nk.

  Leo tunazungumzia nywele za sehemu za siri yaani mavuzi.
  Hizi nywele kawaida huwa na rangi tofauti na nywele za sehemu zingine kama kichwani, zingine huwa na rangi nzito zaidi, zingine huwa ngumu zaidi, zingine hunyoka (straight), zingine hujisokota (curl)

  Linapokuja suala kunyoa hizi nywele ni preference ya mtu, pia jambo la kushangaza ni kwamba wanawake ndio huzungumziwa zaidi kuliko wanaume ni kama vile wanaume hawana hizi nywele.
  Imefika wanaume hujiuliza wenyewe je, mwenzangu unapenda mke kuwa na forest au kuwa na jangwa la sahara?
  Kila mwanaume au mwanamke ana jibu lake.

  Baadhi ya wanawake hujisikia more attractive wakiwa wamenyoa wakati wengine hujisikia raha wakiwa na thick forest.

  Hata hivyo kama lilivyo suala la matiti au makalio (******) wapo wanaume hufurahia na kujisikia excited zaidi kwa mwenzi wake kuwa na msitu wa asili wa uhakika wakati huohuo wapo wanaume ambao kwa mwanamke kuwa na msitu mnene kwake huona ni mwanamke mchafu na asiyejitunza kama anshindwa kujinyoa sehemu muhimu kama hiyo basi yupo careless na hajipendi.

  Kunyoa au kutokunyoa ni suala la hiari yako na mpenzi wako hakuna sababu ya Kujiona upo sahihi au hupo sahihi pia wapo ambao hunyoana na nyakati kama hizo kwao ni faragha na kujuana.

  Kutokupata information zinazotakiwa wakati mwingine huweza kusababisha mtu kuchukua hatua ambazo zinaweza kushangaza hata mpenzi wake.

  FAIDA ZA KUACHA KUNYOA
  (Kuwa na msitu)
  Hizi nywele huwa zonashika homoni za pheromones ambazo zikisambaa huweza kuvutia mtu wa jinsi tofauti (attraction)
  Huweza kuzuia msuguano (friction) wakati wa tendo la ndoa, Kumbuka viungo vya uzazi vipo delicate sana.
  Husaidia kufanya maeneo ya sehemu za siri kuwa jotojoto (warm)
  Huzuia na Kulinda sehemu za siri kama hasa vitu vidogo kama mavumbi Kuingia sehemu nyeti hasa wanawake kama zilivyo nywele za kawaida zinavyolinda kichwa.
  Huonesha kukua kwa mtu (sexual maturity)

  FAIDA ZA KUNYOA
  (Kipara)
  Huboresha tendo la ndoa hasa kwa wale wanaopenda Kipara.
  Huboresha usafi; hizi nywele hushika harufu (odor) na kuweza kupelekea kutoridhishana kimapenzi, au kama muhusika hajaoga vizuri anaweza kukufukuza kwa harufu.
  Kujisikia vizuri, kujiamini na kujisikia safi.

  KUNYOA AU KUTOKUNYOA KATIKA NDOA
  Kuwa na maeneo ambayo yanatunzwa ni moja ya njia ambayo mke na mume huweza kujisikia vizuri kwa mwenzake.
  Wengine hujisikia vizuri zaidi kwa kila mmoja kuwa kipara na kufanya degree of intimacy kuwa juu zaidi (ngozi kwa ngozi hunoga zaidi)
  Wanandoa wengi hukubaliana kunyoa au kunyoana kuliko kuacha msitu, sababu kubwa zikiwa
  Kunyoa huleta ukaribu (intimacy)
  Kuwa kipara (mwanamke) ni zaidi ya kuwa uchi kwani unakuwa kama umeondoa kile kinafuka uke hivyo mume huweza kuona kwa macho na kwa kugusa uzuri na jinsi Mungu alivyokuumba.
  Pia wanandoa ambao hunyoana kuanzia honeymoon huwafanya kuwa karibu zaidi kwa kujuana zaidi.
  Kunyoa ni usafi.
  Agano la kale ilikuwa ni ishara ya kujitakasa.
  Kunyoa mwanamke huonesha amejitoa kwa mumewe.

  (Hesabu 8:7)
  Katika Agano la kale ishara mojawapo ya kujitakasa ilikuwa ni kunyoa nywele zote katika mwili.

  JE, KUNA STYLE ZA KUNYOA?
  Wengine wanaponyoa huweka style mbalimbali just for fun.
  Wengine hupunguza (trimming) na si kunyoa Kipara kabisa.
  Wengine hunyoa pembetatu ili wakivaa bikini nywele zisionekane.
  Wengine hutengeneza mstatili ambao huitwa “Chaplin Moustache” kwa raha zao mke na mume.
  Wengine hupaka rangi nyekundu na kuchora umbo la moyo kama zawadi kwa mwenzi wake.
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Hii kitu.
   
 3. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,440
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh .. JF raha sana..!
   
 4. S

  Saidy New Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman, ni kusomea haya mambo au..! nami ntajua lini??
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wengine wananyoa KIDUKU!
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  hiyo kali kweli. Wengine wanaziweka dawa.
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  :canada:
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kwani we pdiddy unapenda KIPARA au FOREST?
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,253
  Trophy Points: 280
  sina uhakika kama kuna tija hapa......
   
 10. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kiduku style ndo nzuri
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  p didy shikamoo
   
 12. M

  Mayanka Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Haya jaman
   
 13. M

  Mayanka Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Haya jaman
   
 14. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wapo wanafuga rasta, ila sijui kama nyama hawali kweli..
   
 15. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kuna style niipendayo akinyoa huko chini kuacha kijistari kwa mbaaaaaali inaitwa landing strip!
   
 16. LebronWade

  LebronWade JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,619
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Huyu msela Pdiddy ni sooo!!!!!
   
 17. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  !!!!!!!!!
   
 18. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mambo yote nikipara ili iwe ngozi kwa ngozi.
   
 19. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhhhhhhhhh
   
 20. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mi huwa natembeaga na topazi kabisa kwenye pochi nikikutana na msitu huwa naufyeka wote baada ya hapo ndo game linaanza
   
Loading...