Is It Possible? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is It Possible?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Nov 14, 2011.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wapendwa ninatumaini wote mu wazima.
  Ninaomba msaada wenu
  Eti inawezekana kwa wazazi waliotengana wakabaki marafiki? Kuwa kwa kuwa mmejaaliwa mtoto/watoto kisha mkatengana, na mnajua kabisa (or at least upande mmoja unajua kabisa kuwa hakuna possibility ya kurudiana- mnaweza mkawa mnaalikana/particippate kwenye shughuli za familia mf. arusi na sometimes kuwatoa watoto wenu out kwa pamoja??

  Is it possible? Maana naona hii anger management course itanishinda!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  it is possible but not easy
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Dah! Hii kibongobongo imewashinda watu unakuta mmeachana lakibi bado mtu ana wivu sasa unashanga hii inakuwaje tena ndio maana unakuta mara nyingi watu wakiachana hata kuwatoa watoto wakiwa pamoja inakuwa ishu kila mtu anatoka na mtoto kwa wakati wake, halafu unakuta mwingine bado ana kinyongo na mwenza wake so kuandamana nae na watoto watoke pamoja anaona uzushi anataka yeye atoke na mtoto peke yake pengine ameishapata mwanamke\mwanaume mwingine kwahiyo atakuwa anataka kumuonyesha huyo mupya mtoto wake.
   
 4. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kwangu mimi it is not possible. Period

  Ni possible kwa mambo ya msingi na yanayohusu watoto but sio sijui mkuwe pamoja eti mnawatoa watoto out hehehe mnaweza mkawatoa watoto out halaf nyinyi mkaishia in.

  MJ1 kwaheri
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Boss nimeshuhudia jamaa alimuacha mwenzake lakini alipoombwa wakaenda kwenye tafrija na watoto, mshikaji alikuwa bado ana wivu...lol
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  wivu ni kitu 'powerfull mno'
  watu hufanya 'maamuzi' yasiyo tarajiwa kwa sababu ya wivu
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kamanda banaa kumbe bado una ugonjwa wa wivu waliokutundika dripu 10 kipindi kile
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  The Boss, kusema ukweli kwangu imeniwia vigumu sana yaani zaidi ya salamu na kilichokuleta siweziendelea kustorisha. Sasa hapa ninapoambiwa eti tuwe friends hata kama we are not getting back together!!! Ah na kozi yenyewe naacha kwa kweli.
  h
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...unazungumzia kwenye situation gani mamie?...nyote mkiwa single, au nyote mkiwa committed na mahusiano mengine?
  kwenye usingle, au mmoja wenu akiwa single... kuna hatari ya mmoja wenu akawa anafanywa 'msukule'...

  ...hata hivyo, hii pia inategemea mmetengana vipi.

   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yaani hapo niomeiondoa hiyo ya kuwa na another relationship kwani ikishakuwa hivyo its NEVER. Tutaishia tu Bwana eh Mtoto anaumwa kalazwa au mtoto anamaliza term so jiandae kwa ada ya next term but zaidi ya hapo eti flan anaoa utoe mchango au uhudhurie, au tumtoe mtoto kusema ukweli naona karibu navunja undugu na ndugu zangu! Hawataki kunielewa kusema ukweli, kwangu alianza nikamaliza na sitarajii kurudi wala kufake urafiki wa kuunga unga na selotepu kama tunapamba mti wa krismass.
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Ili somo limewashinda maprofesa wa vyuo vikuu vyote duniani, fanya kile unachoona moyo wako unahitaji. mtu mlietengana nae kwa kukuachia maumivu huwezi kumsamehe ndani ya moyo wako, whatever u can do utakuwa unapretend tu.
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Shemeji huu ndio mtazamo wangu mie although hiyo ya sisi kuishia in siifikirii kwa sababu ilishafutika ndani kwangu ila tu kwa upande wa pili, kuna false hopes ambazo hata kipofu anaona giza kusema ukweli.
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  MJ1

  It can be possible but rest assured its going to destroy more than anything. Many of those (no reference here) who separate adn remain friends huendelea kula tunda, and that makes it very difficult to move on, and very unfortunately women huwa wanakua affected negative zaidi kutokana na mfumo dume uliopo.

  I have seen a few cases wapenzi wa zamani wanaalikana, na baada ya shughuli jamaa wanashtua na maisha yanaendelea, with our nature, freedom ya kiume nk we usually leave our emotions right there after "the do-do thing" but women take those emotions back home and keep them for some time

  Ushauri wangu, DO NOT ENTERTAIN IT, COZ FOR A WOMAN NI KUJIPIGA LOCK TU
   
 14. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Yah,maamuzi magumu.Kwa sababu ya wivu.
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sweetie nazungumzia wale ambao wametengana na kuwa bado hawako supposed to have other relationships au hata kama wanazo basi hawako tayari kuonyeshana pengine kwa sababu maalumu.

  Hapo kwenye namna mlivyotengana unazungumzia kutengana kwa ugomvi au amani ((kuna kutengana kwa amani??)?
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Matola aksane. Hivi kuna kutengana pasipo maumivu iwapo lengo lenu tangu mwanzo ilikuwa ni kuwa pamoja forever?? But I think you are very right kuwa fuata moyo wako unavyokutuma but sometimes unajikuta unaudoubt hata huo moyo wako maana shinikizo linakuja kila pembe!
   
 17. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80
  Mwanajamiione
  Personally I believe inawezeka provided kuna clear lines as to what entails the said friendship relation.You need to make sure, that he is clear on what's acceptable and whats not. Also be ready to stand your ground as far as the consequences are concerned when and if the line is crossed.

  Sidenote
  Pole I know its easier said than done, but in the long run I think it's mighty important for the children's well being to have parents who are civil to each other
   
 18. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Dah! Ngumu sana kwa kweli!
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dah aksante Kamanda. This is a piece of something kwa kweli. The hard truth that all women who are in a forth-n-back relationships must know.
  Aksante MTM
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  very good one,

  Ila si lazima kuwa friends ili muwe civil... the most important ni kujua ramani ya kila mmoja... i would talk to her about kids, school, future plans, holidays of our kids but not inviting her around

  Kwa kuanza kualikana mnaanza kuwanyima amani waliowazunguka, either new friends au hata ndugu

  Usiombe ualike ex-wife halafu ndugu zako au wa mke mpya wawepo and watoto nao wawepo
   
Loading...