Msichana akitongoza mvulana kwani kuna ubaya gani ?

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Eti jamani ,

msichana akitongoza mvulana kwani kuna ubaya gani ?
 

Attachments

  • WACHUMBA BOMBA.JPG
    WACHUMBA BOMBA.JPG
    71.4 KB · Views: 74
Yan wanawake wanatongoza tena sana yan mwanaume pale yan unafanya finishing 2 unafunga kwa kisigino.
 
Mbona tumetongozwa mara nyingi tu na hakuna kilichobadilika?
Angalizo: Wanawake akikataliwa huwa wanaumia saaaaana! Ndo maana wengi wao hawapendi kuton&oza. Uwe mwangalifu sana kabla ya kumtolea nje.

 
tena mi huwa wanashia kuniniliwa hadi kwa kameruni halafu nduki mbaya asinizoee..
 
Back
Top Bottom