'usipotuma ntamwambia kaka'

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,285
7,143
@arusha,baba mngoni,mama mchaga

umeoalewa mwaka huu, jpili ukamtembelea mamamkwe (hukufwatana na mmeo as yupo kikazi Nairobi kwa miezi minne) ,kule ugenini bahati nzuri/ mbaya shemeji yako (mdogo wake mmeo) alikuwepo.Huyu shemeji yako alikuwepo masomoni UGANDA na ndio kwanza amerudi likizo na hukuwahi kukutana nae b4.

Baada ya utambulisho mnapiga stori na ni wazi unamwona kachangamkaa.Unamuueleza mamamkwe kuwa shemeji yako ni mchangamfuu anakwambia just for sometimes kuna siku hutajua kama yupo home manake hata redio hawashi.

After two days anaanza kukutumia sms za kawaida na kubeep.Then anaanza jamani shemeji nauli ya kuzunguka mjini inakuwa ngumu mpaka kaka arudi ndiyo ntaanza kupumua.Unajiskia aibu unamtumia 20000, mara 40000, mara 30000.Anakushukuru kwa kukwandikia sms "KAKA AMEPATA MKE MZURI NA MJANJA I WILL ALWAYS LOVE U, be on your side hata kama chokochoko zitaanza"-kumbukeni wakati unaolewa hukuwa chaguo la dada yake mmeo.

Mara usiku shemeji anakusms kuwa anataka laki tatu na anaamini unaweza mpatia kesho jioni.UKAMJIBU HUNA NA HAIWEZEKANI LABDA AWASILIANE NA KAKA YAKE.Shemeji kwa sauti ya ukali wa ajabu anakuamuri ufanye hivyo ili kumsaidia kumpa hongo Lecturer wake aliyemfelisha huko UGANDA.Anaendelea kusema ukikataa ntamweleza KAKA kuwa unanitongozaga na ntamweleza mama kuwa kuna siku nililewa (Note:last jpili alikuja kwako akoondoka saa mbili kumbe alielekea Bar home alifika saa saba usiku)nkajikuta nimelala na wewe na naomba aniitie mchungaji ili niokoke leo niacha maovu.

Note:mmeo akikwelewa ,mamamkwe je?shemeji yako anadai ana sms nyingi sent/received zinazoweza kutafsiriwa kinyume ikiwa ataamua kuzitumia kushawishi.
 
hii story haijakamilika......kuna mengine ume ya edit....

mambo ya shemeji kula.....
 
hii story haijakamilika......kuna mengine ume ya edit....

mambo ya shemeji kula.....
imekamilika 100%
hakukuwa na biashara ya mapenzi hapo sema shemeji anatafuta hela za kumhonga mkufunzi wake kwa mgongo wa mkee wa kaka yake
 
hii story haijakamilika......kuna mengine ume ya edit....

mambo ya shemeji kula.....
hahhaaaaaaaaa una akili sana ww yani niliwaza ivo ile naangalia coments nakuta yako ya kwanza umeuliza ivo loh! like u were in ma mind loh!
 
kama mumeo anakupenda utamwelewesha ataelewa. Kwa nini uwe mtumwa? Kama simu inarekodi we rekodi tu baada ya hapo ndo uwe ushahidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom