Haya mapenzi yananishinda.....

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Jamani tuwapende vipi?
Mwanaume umemaliza chuo na kupata kazi, mpenzi wako unamatarajio nae ndo kwanza anaanza chuo mwaka wa kwanza halafu anakuletea mambo ya ajabu aaagggrrrrrrrrr......
Hivi mnataka nisiwe naenda kazi nije nikuchunge mwenendo wako hapo chuo?
Au ndo mnatuita vibabu!!??
Ni bora kutafuta mpenzi aliyekuwa kitaa kuliko anaesoma chuoni, jamani inaboa aaaaaaaaahhhhhhh.......!!!! Nishaumizwa mimi acha tu.
Kama nimeandika vibaya sorry, nina hasira kweli!
 
Hv mkubwa wewe umesoma na ulikuwepo chuo, nadhan unafahamu tabia za dadazetu wengi waliofika huko huwa wanakuwaje sasa unalalamika nin tena? Kwani ulikuwa hujui?
 
Hv mkubwa wewe umesoma na ulikuwepo chuo, nadhan unafahamu tabia za dadazetu wengi waliofika huko huwa wanakuwaje sasa unalalamika nin tena? Kwani ulikuwa hujui?

yaani mkuu ndo najuta kumpenda mpenzi niliyeanzanae from ground to top.nukta
 
Alianza nalog off akaja yoyo, sasa kuna hii ya nukta. Kuweni wabunifu. Bora ungeaiandika mwanzoni ili uwe tofauti na wenzako.
 
mijinga kweli wewe. yaani umri wako wote kujui maisha ya first year female students huwa yakoje? na utakufa kwa kijiba cha roho. wenzio wanajimegea kwa kuandaa madesa tu, we unachunwa kifala, looooh!
 
yaani mkuu ndo najuta kumpenda mpenzi niliyeanzanae from ground to top.nukta

Acha dhana potofu my dear, mpenzi kama akiamua kukutosa anakutosa tu haijalishi umetoka nae wapi au umeanza nae lini!! Pole sana ndugu hayo ndo maisha ya kimapenzi, sometimes pain and sometimes peace!
 
We achana nae,subiri kwanza amalize hcho chuo ndo akili itakaa sawa.
 
Alianza nalog off akaja yoyo, sasa kuna hii ya nukta. Kuweni wabunifu. Bora ungeaiandika mwanzoni ili uwe tofauti na wenzako.

mpe ushaur mwenzio juu ya kile kinachomsibu,nadhan hlo ndo la msing
 
vitu used kibao pale kona bar nyie mnataka mambo ya vingredha u know bebi you know what i mean haya madhara yake hayo....kaa utulie sasa mchakato wa katiba mrefu huo
 
pole sana ila watoto wa chuo ndo walivyo,wanaona kama vile unawazingua..tafuta anayekaribia kumaliza au aliyemaliza chuo yaani kshacheeeeeza huko nyuma sasa anasubiri kuolewa tu...wachache wanaoanza kama wewe wanafanikiwa to stay together
 
Its complicated. Lol, hata aliyemaliza chuo utamuweza? Utakubali aje saa 3 usiku au saa 4 kisa alikuwa na mashot wake! wakati wewe ukifanya kila njia kuhakikisha unafika home mapema kukutana na mwenziwako? Utakubali akae juu yako nawewe uwe chini yake? Utakubali kujenga kwao, kusomesha wadogo zake na pengine ile hela yake ya mshahara ni siri yake wakati wako ni sharti aujue? Utakubali kuvumilia yoote hayo mazee na mengine mengi nisiyoyataja kwa hawa wadada zetu waliomaliza chuo ambao wengi wao wana ndoto nyingi zinazotegemea vipato vya wanaume?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom