Mnisaidie mwenzenu

Boyfriend

New Member
Nov 16, 2011
3
0
Jamani mimi ni mume wa mtu na nina mtoto mmoja. Katika pitapita zangu mdada mmoja katokea kunizimikia ile mbaya. Nimejaribu kumkwepa lakini waapi, kila siku ananipa majaribu!Kuna siku alinialika kwake nikakataa kwenda, akamtuma mshkaji wangu atafte mbinu ya kunipeleka kwake. Mi sikujua kama mshkaji wangu alitumwa na yule demu, ila jamaa yangu alinambia kuna dadake anaumwa so twende nae (kwa usafiri wangu) ili ampeleke hospitali. Tulipofika tukaingia ndani na mshikaji akanambia nimsubiri anatoka idogo, sijakaa sawa demu yule anaenimind akatokea kavaa kihasara hasara, looh!Wanaume wenzangu jamani mnajua tulivyo hasa tuonapo baadhi ya maungo ya hawa kina Eve. Kwa kweli uzalendo ulinishinda nikajikuta naharibu na yule dada. Sikumini nilichokiona kwani yule dada alikuwa hajabanjuliwa na mtu!Yani mi ndo nlikuwa wa kwanza na kobaya zaidi sikuvaa hata buti!Niliregreat sana kile kitendo na skutaka tena kurudia kufanya na yule dada.
Baada ya kama miezi miwili yule demu ananiambia ana ujauzito wangu, na keshawambia wazazi wake kuwa mi ndo muhusika na wazazi wake wananikomalia nimuoe (ye mwislamu mi mkristo). Hapa nilipo nahisi kama nina kiwiliwili bila kichwa, nampenda sana my wife na mwanangu na sitaki hata wife ajue hiyo issue.
Whay should I do?Natamani nikimbie kabisa nisionekane hapa duniani. Tell me jamani nifanyeje?
 
Uliyataka mwenyewe,kwani ulibakwa? Fanya ufanyacho lakini hakikisha humtesi mtoto kwa upumbavu wako
 
unaogopa nini wakati unasema alikuwa hajabanjuliwa ? ? ? ? TUMA SALAMU KWA NDUGU NA JAMAA NA MWISHO UCHAGUE MZIKI UTAKAOSINDIKIZA SALAMU HIZI
 
ilikuwa sitaki nataka....jiandae kutoa matumizi na malezi kwa mtoto.........hutaki kuonekana dunia unataka mbinguni
 
Si ulitaka chai?

Sasa nini unalalamika unaungua?... Hayo ndiyo malipo ya ulichofanya! Pole sana bf.
 
Nitarudi,hiki kisa inatakiwa uwe umeshiba ngoja nitafute mtori na ulimi halafu narudi!
 
Kutokana na mbinu zilizotumiwa na huyo Mwanamke nahisi
hiyo BIKRA ni ya kutengeneza maana nasikia kuna
BIKRA ZA
KICHINA!
 
Nasisitiza hiyo mimba hujatia wewe nenda kwenye DNA ili kuhakikisha!
 
Jamani mimi ni mume wa mtu na nina mtoto mmoja. Katika pitapita zangu mdada mmoja katokea kunizimikia ile mbaya. Nimejaribu kumkwepa lakini waapi, kila siku ananipa majaribu!Kuna siku alinialika kwake nikakataa kwenda, akamtuma mshkaji wangu atafte mbinu ya kunipeleka kwake. Mi sikujua kama mshkaji wangu alitumwa na yule demu, ila jamaa yangu alinambia kuna dadake anaumwa so twende nae (kwa usafiri wangu) ili ampeleke hospitali. Tulipofika tukaingia ndani na mshikaji akanambia nimsubiri anatoka idogo, sijakaa sawa demu yule anaenimind akatokea kavaa kihasara hasara, looh!Wanaume wenzangu jamani mnajua tulivyo hasa tuonapo baadhi ya maungo ya hawa kina Eve. Kwa kweli uzalendo ulinishinda nikajikuta naharibu na yule dada. Sikumini nilichokiona kwani yule dada alikuwa hajabanjuliwa na mtu!Yani mi ndo nlikuwa wa kwanza na kobaya zaidi sikuvaa hata buti!Niliregreat sana kile kitendo na skutaka tena kurudia kufanya na yule dada.
Baada ya kama miezi miwili yule demu ananiambia ana ujauzito wangu, na keshawambia wazazi wake kuwa mi ndo muhusika na wazazi wake wananikomalia nimuoe (ye mwislamu mi mkristo). Hapa nilipo nahisi kama nina kiwiliwili bila kichwa, nampenda sana my wife na mwanangu na sitaki hata wife ajue hiyo issue.
Whay should I do?Natamani nikimbie kabisa nisionekane hapa duniani. Tell me jamani nifanyeje?

Humpendi mke wako aisee! Dah hii kiboko! Bint ni mzuri au?
 
Sasa wakati anakusumbua kwanini usiwaambie wana JF wakusaidie leo yamekukuta baada ya kuchakchua tena kwa kumuomba mwenyewe unakuja kuomba msaada. Cha msingi badili kauli yako ya "NAMPENDA WIFE NA MTOTO" sema "NAPENDA FAMILIA YANGU PAMOJA NA MTOTO MTARAJIWA". Tuko pamoja.
 
U lie urself,kama kwel unampenda mkeo mbna umemkana kivitendo.kwanza umejirahisi kinoma mkuu..hakuna cha bikira hapo umeingizwa towwwn,then mimba hyo am nt so much sure kama niww au ni mission unepangiwa..na cha mwisho huyo rafk yako sidhani kama anakuheshmu wewe kama mtu ulie na familia yako..watch out and don be cheap....
 
Back
Top Bottom