Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sometimes it’s hard to contain ourselves but do we ever ask ourselves -Why shout??? A psychology professor was teaching his students. He asked his students, "Why do we shout in anger? Why do...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani Wazanzibari hata kama mnavunja muungano basi isiwe kwa shari msije tupeperushia njiwa wetu ati. Wengine sie shemeji zenu. Hala hala kidole na macho. Natumai kujamiiana (socialization)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu...wikend hii nipo mpweke sana hivyo natafuta company ya dada amabaye ataambatana nami beach tukapunge upepo everything on me yeye awe na vifuatavyo 23-27 yrs tall not less than 170cm...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natafuta demu wakwenda angalia nae mechi ya taifa stars....awe mpenzi wa mpira mchangamfu na muongeaji. age: 24-27
0 Reactions
7 Replies
2K Views
THE BEER MUST BE TAKEN FROM THE BOTTLE
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akina dada msipende sana vitu vya sukari kwani huleta madhara mbalimbali,harufumbaya kwenye .......,vikwapa ni kiwakilishi sasa pia tizama hapa
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Jirani yangu aliondoka juzi usiku akamuaga mkewe kuwa anaenda bar kuzuga. Hakurudi, akipigiwa simu zilikuwa zinasikika sauti za walevi, wake kwa waume. Mwisho simu ikawa haipatikani kabisa. Leo...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nipo katika mkoa wa kilimanjaro,nilikuwa najipatia msosi mahali moshi town, nikawa nimekaa meza moja na jamaa ghafla akaongezeka mama(around 30's).kumbe alikuwa mgen wa jamaa. Maongezi yao: jamaa...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
AISEE WANA JF, NATANGAZA KUTAFUTA THE DESPARATE HOUSEWIVES WHO ARE STRONG, BRAVE, OUTSPOKEN AND COURAGEOUS. MANY WILL BE SURPISE TO ASK WHY THE DESPARATE HOUSEWIVES. I AM REGARDING...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapwaz na binamz ! Leo imetimia miaka 10 tangu mpendwa baba yetu Mzee Paul Joune Sadiki alipoitwa na bwana tarehe 10 Novemba 2001! Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake na kazi kubwa aliyoifanya ya...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Hello wachumba, walimbwende, warembo, mkaza mme, chakula ya muzee, mnao tuvumilia kila siku, poleeeni na dunia hadaa, ukicheza vibaya dunia balaa, cheza vizuri mpate mwanaume mzuri kwa maisha...
6 Reactions
86 Replies
12K Views
Ni msela wangu wa karibu sana, anakaribia kufunga pingu za maisha very soon na mchumba wake, lets say R, Jamaa alikuwa na Mahusiano na binti Flani hv lets say Q, jamaa kamwambia live Q juu ya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tunapoelekea; cku unakwenda kwa wazazi unawaambia unataka kuoa wanakuuliza 'je unaoa mwanaume au mwanamke?' au unakwenda kuchumbia wakwe wanakuuliza 'unamtaka binti yetu au kaka yake?' na kwenye...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau,kuna gal flani hvi nasoma nae{ni rafiki wa kawaida tu}nlimkopesha pesa ka elfu 80 hv,bt cha kushangaza umeisha pita mwaka hajanilipa hata sent na leo asubuh kanitumia txt akiniomba ka niko...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Muhali gani mabibi na mabwana!Mie mzima wa mwili ila mgonjwa kifkra.Nilibahatika kupata elimu mpaka ya chuo kikuu,niliajiriwa ila niliacha kazi kutokana na matatizo ya kifamilia yalonitaka kurudi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna kabinti kamoja nimetokea kukapenda..!, but nilipomweleza akanitolea nje.! Na kusema eti kana mchumba tayari, jamani wana jamvi naombeni msaada wenu nimwambie vp? Ili anielewe huyu dent maana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
MWANAMKE mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa Kibaoni mjini hapa, amewavunja mbavu wasikilizaji wa kesi katika Mahakama ya Mwanzo Ipembe, baada ya kumjibu Hakimu kuwa kijana aliyemfikisha mahakamani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mchumba ni mtu uliemteuwa awe mwanandowa wako katika maisha yako ya baadae,katika uteuzi wa mchumba wahusika wengi wasiku hizi hufanya pupa hatimae hukosa uangalifu wa kuweza kugundua ni nani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kijana wa kiume unapofikia age ya kuoa,mama na kina dada wanaanza kukupa wosia kuhusu mtu wa kuoa. Mbona madingi huwa wanauchuna? Nipo kwenye hiyo age,siku moja nilikuwa nastorika na mama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hapana sio pdidy bana nshazeeka sasa natunza familia ..nimesikia mtangazaji mmoja wa clouds fm arnold kayanda kipindi cha jahazi akisema pamoja na serikali kukaa kimya kuhusu yale madude yetu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…