Wanawake 50% kwa 50% tumedandia trneni kwa mbele, tujipange upya.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake 50% kwa 50% tumedandia trneni kwa mbele, tujipange upya..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WanawakeLive, Nov 25, 2011.

 1. W

  WanawakeLive Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanawake tumekuwa ktk mstari wa mbele kudai HAKI na FURSA SAWA kwa wote (50% kwa 50%) mbona majukumu ya familia tunayakwepa??? tena na majina kibao ya kuwadhalilisha wenzi wetu, (sharobaro, mwanaume suruali, nk) tutaongozaje jamii na taifa kama hatuwezi kuongoza familia zetu?

  Namaanisha matumizi ya nyumbani huku tunajitetea mwanamke tumeubwa kulelewa!!

  Huku tunasema mfumo dume unatukandamiza tunataka viti maalum, na nafasi kibao za uongozi kwenye jamii....nyumbani kuwajibika hatutaki, tunamwachia mume majukumu yote! bora mwanamke ambae hana hela, naongea na sisi wenye vijisenti...TUTAFIKA?

  MIAKA 50 YA UHURU??
   
 2. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Habari yako dada,binafsi nashiriki sana kwenye masuala ya kulea familia.yaani yeye analeta hela mi naipangia matumizi.
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,565
  Trophy Points: 280
  Hahahaha! Umenifurahisha sana! Zikiingia unazipangia bajeti wewe,kama hazijaingia?
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,565
  Trophy Points: 280
  Mi nawachokoza tu wadada wa JF eti mnasubiri ziingie mzipangie bajeti? eti daughter enhe?
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mwanamme akitaka nizisake pesa sawa na yeye, analazimika kusaidia na ulezi pia.
   
 6. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,565
  Trophy Points: 280
  Hivi kipindi chenu tayari kimeshaanza kwenda hewani shemeji?
   
 7. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,639
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Ngoja waje be patient please utawajua wao ni akina nani
   
 8. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa amegusa penyewe nijuavyo vitu vinavyo wagusa moja kwa moja hawavichangii,ila kusema ukweli sijui tuendako maana akinamama akikupatia
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Soma tena hii topic huielewe ndio ucomment.
   
 10. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Kufika mtafika ila chamoto mtakiona!!!!:eyebrows:
   
 11. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Its too headache tena hawa wanamaliza shule na kupata kazi haraka haraka, anasahau kama kuna maisha bila hela!! Akifikisha 32 hadi 35 anaanza kulia lia oooh nataka kuolewa nipate familia hapo walishachezea mashine mpaka basi huku akiwa busy kutafuta hela na kuweka mambo ya 50% by 50%.
   
 12. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  naona mmeanza kujirudi polepole
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kama hela hazijaingia unampangia mume matumizi yake ya mwezi 2*3 24/7

   
 14. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hapo umenena sio anadai usawa kwenye kuzisaka tu mambo mengine anaachiwa mama,na time ya kuzihonga huko kwa malaya mbona huwa hawaombi usawa?
   
 15. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  50/50 itawezekana wapi ni kujidanganya tu.
  Wacha tule pesa zao na kutunzwa.Ya nini shida?
  Wewe kama unalilia 50/50 shauri yako.
   
 16. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  soma tena hii post uielewe
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  absolutely daugher. Kula tano!
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  safii, mwanamke matunzo
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  acha wewe, siku hizi wanawake wanalea wanaume, ndo wanalipa ada za watoto, wanahakikisha msosi upo mezani! Wanaume wao wanaweka heshima bar na kutunza small house

  anyway mgawanyo wa majukumu ndani ya nyumba inategemea na makubaliano yenu, wanawake wanashiriki kwa njia mbalimbali siku hizi ingawa inaweza isifike 50% kama unavyosema
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Mwanamke pambo babuwee, ulisikia wapi kuna mwanamme akafanikiwa bila mwanamke? Unanchekesha!

  "man has enough blood only for one head, when its used in one the other fails".
   
Loading...