Ukweli kuhusu bikira na ushauri wangu kwa vigoli kama mpo..!

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
watu wengi hawajui bikira yaani kale kautando kwa akina dada kana maana gani na imefikia pahala watu wanao ulizia kwa sasa kuonekana washamba. .Ukweli ni huu siku za nyuma ilikuwa ikitiliwa mkazo kwa kuwa kulikuwa hakuna cha kufunga ndoa.So ile kitu hasa inapotoa damu baada kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza huesabiwa kuwa ni agano yaani mkataba wa kuishi pamoja.Na hii ndio maana wanawake huwa wanakuwa wepesi kuwavulia chupi wapenzi wao wa kwanza.Si kwakuwa hawajiheshimu ila ni kwasababu ya agano ambalo walili weka.Ushauri wangu kwa vigoli kama mpo usikubali mtu mbae humuamini akakuvua chupi wakati hana mpango na wewe utajikuta unakuwa mtumwa wa mapenzi bure hasa utakapo olewa na mtu ambae haku kubikiri..kwani ile njemba iliyo kubikiri itakapo kuwa ikihitaji utaipatia bila shaka.Na kama ndo mnaishi kitaa kimoja basi ndo itakuwa balaa.Nina ushahidi na haya niliyo yaandika so take care..
 
Na wanaume unawashauri vipi? Wao wanapoteza bikira zao na mbuzi? Au wao hawapaswi kujitolea kwa wenzi wao!

Ushauri wako ungekuwa valid kama ungekuwa unasound kiFF kuwa wote waache uzinzi kabla ya ndoa. I am sure bikira zingekuwepo za kuzidi!
 
Kwa hiyo wanawake wote walioolewa na ambao hawakuwatoa bikra wanadukuliwa nje na waliowakata utepe?
 
mngese .....w...umemwaibisha mke wangu inamaana anadukuliwa na aliyembikiri.....chondechonde unaleta maudhi humu eeeeh shauri yako ...................!
 
Sasa hapo mbona mnataka kutupandisha presha,wangu nimemhamishia mbaaaaaaaali huku hiyo njemba haiwezi fika na akienda kwao tunaenda wote.
 
mngese .....w...umemwaibisha mke wangu inamaana anadukuliwa na aliyembikiri.....chondechonde unaleta maudhi humu eeeeh shauri yako ...................!
pole kwa masaibu yolokufika, naona kama ulipata ajali ya kugongwa na treni vile. Inabidi uende sido wakureshape, pole sana
 
Ha ha ha, usiwapandishe watu presha bure, si kweli awe wa kwanza au wa mwisho kinacho-matter ni experience, hao wa kwanza wengi wao wanakutana wakiwa wanajifunza a, e ,i ,o ,u za mapenzi so hakuna adventure yeyote ya kukufanya urudi huko.
 
duuu gango2 hiyo avator yako huyo jamaa akikupiga kichwa nadhani hufiki hospitali ha ha ha
 
Back
Top Bottom