Naombeni ushauri please!!!!!!!

Nov 14, 2011
36
1
Jamani wana jf naombeni ushauri kuna rafiki yangu alikuwa ana mchumba wake yaan gf ila huyo gf wake alikuwa ni binamu yake na wote walikuwa wanalitambua hlo ila sasa mshkaji akaona bora amuache maana umri unakwenda na anajua hataweza kumuoa maana ni binamu yake ila sasa huyo binti eti hataki anataka waendelee na mahusiano na umri wa bint ni 22yrs !sasa mshkaj anaomba ushauri amfanyaje maana hata bint mwenyewe hata kufanya kitu chochote hatak mpaka jamaa amrudie
 
duh...aibu!!!!!
yee aendelee kuwa hawara yake tuu kwani alishaonja asali na demu ndio kanogewa
 
rafiki yako na binamu yake wana laana!!!!!!!!!!!
 
Wameshavunja amri ya sita ndo wanataka kuachana. Anamuachia nani makumbo yake? Wambie waendelee mpaka wafunge ndo.
 
duh...aibu!!!!!
yee aendelee kuwa hawara yake tuu kwani alishaonja asali na demu ndio kanogewa

sa demu mwenyewe ndo hvyo anamng'ang'ania mshkaj et amuoe wakati lengo la mshkaj ni huyo demu atafute mtu mwingne atakaye kuja kumuoa
 
Duh! kijana atakuwa kapata kifaa kipya, so binti ajiondokee tu atapata mpya.
Trick rahisi kila siku asubuhi na jioni aende pale kituo cha mabasi ya ubungo wakati watu wanaenda na kutoka kazini kwa mtindo huu.

Jtatu anapanda ana-deal na magari ya mbagala, J4 gongo lamboto, J5 Mbezi, Alhamis Tabata, Ijumaa Tegeta, Jumamosi Kariakoo?posta, kwa wiki moja tu atapata mtu mpya.
 
Back
Top Bottom